Mwita alikuwa anatafuta uwaziri kishaupata. Ila 2020 asiposhughulikia barabara basi ndo byebye
Kule hawezi rudi tena,walishawahi mpiga chini ndo akaja Ukonga.Anaenda kugombea Tarime Vijijini
Hata awamu hii hakuchaguliwa na wananchi, wana ukonga hawakutoka kabisa kupiga kura lakini tukatangaziwa kapata kura 85,000!!!Mwita alikuwa anatafuta uwaziri kishaupata. Ila 2020 asiposhughulikia barabara basi ndo byebye
Mkuu umehama Mbutu?Anajua fika tatizo letu, but naona kama limeshamshinda!! Kwanza ni mbunge aliyewabaka tu wanaUkonga, wala hatukuamka kumpigia kura!! Ni mteule tu yule jamaa!!
Ule ni mkopo wa wazungu wa world bank kupitia mradi wa DMDP.....sharti kuu ni kuendeleza bara bara za maeneo ya watu wa hali za chini(underprivileged)....huko kwenu kumejaa middle class; not qualified kwa DMDP.bongo sijui tumerogwa nani.. yombo, kiwalani, dovya zinajengwa lami mitaani.
yaani kila mtaa una lami.. hata kama hakuna gari linalopita.. watu wanatembelea kwa miguu tu... ukichukua lami zilizowekwa mtaani yombo na kiwalani ukiziunganisha urefu hizo km za lami... unaweza jenga njia ya kivule hata mara 10...
njia zinazohitajika sana wanachelewa kuweka lami.. wale wasiohitaji wanawekewa hadi mitaani
kaka katika huo mradi ukiacha hizo kata , kuna barabara kibao za hao middle class kama chang'ombe,kijitonyama,kilongawima,sokota mpaka kwa azizi ali,kijichi tuangoma na zingine kibao, hivyo tunaloona hapa ni uzembe tu wa waliokuwepo wakati wa mchakato ndio maana kata za kitunda na kivule hakuna barabara ni mahandaki.Ule ni mkopo wa wazungu wa world bank kupitia mradi wa DMDP.....sharti kuu ni kuendeleza bara bara za maeneo ya watu wa hali za chini(underprivileged)....huko kwenu kumejaa middle class; not qualified kwa DMDP.