Kivule Ukonga tumeikosea nini Serikali?

kaka katika huo mradi ukiacha hizo kata , kuna barabara kibao za hao middle class kama chang'ombe,kijitonyama,kilongawima,sokota mpaka kwa azizi ali,kijichi tuangoma na zingine kibao, hivyo tunaloona hapa ni uzembe tu wa waliokuwepo wakati wa mchakato ndio maana kata za kitunda na kivule hakuna barabara ni mahandaki.
Poleni....nilipita huko jana...the road is in terrible condition kuanzia njia panda ya kitunda shule mpaka kivule mwembeni nilipoishia safari yangu...
 
Ni shida mkuu, barabara kubwa lakini NI MFU kabisa!!
 
Hiyo Barabara Naijua Vema Kuanzia Hali Ya Hewa Hadi Kivule Kwa Wamakonde Hadi Kwa Mama Anne Mkapa
Miaka Mitatu Nyuma Majira Haya Inaharibika Hadi Unapitia Ukonga Mazizini Nako Oops
 
Tulieni dawa iwangie vzr huko....
Hivi mbunge wa huko ni nani vile?

Ova
 
Jamani wanaukonga muweni na subra kidogo coz juzijuzi tu ndo mtukufu wenu(waitara)kaienda kuiunga mkono juhudi ya RAIS ili alete maendeleo,muweni na uvumilivu kidogo atakuja kujaza maendeleo!
 
kaka katika huo mradi ukiacha hizo kata , kuna barabara kibao za hao middle class kama chang'ombe,kijitonyama,kilongawima,sokota mpaka kwa azizi ali,kijichi tuangoma na zingine kibao, hivyo tunaloona hapa ni uzembe tu wa waliokuwepo wakati wa mchakato ndio maana kata za kitunda na kivule hakuna barabara ni mahandaki.
Suala la barabara hiyo ni kuwa mkandarasi aliyepewa hiyo kazi ameshindwa, na alichoamliwa ni kumaliza hilo daraja tu, mchakato wa kumtafuta mkandarasi mwingine upo, unaendelea, hayo ni maelezo ya diwani wenu kupitia tbc taifa jana!!! Kuweni wapole kwanza.
 
Kiujumla jimbo la ukonga halina barabara, bora huko barabara kuna upande madaraja yalishazolewa tokea mwaka jana, yaani mwaka huu kilichowasaidia ni dua zao za kuomba mvua isinyeshe ya maana na mungu amesikia kilio chao
 
Ni barabara kubwa sana iliyonyooka inayoanzia Banana pale mbele kidogo ya Airport Dsm kuelekea maeneo ya Kitunda~Kivule mpaka Msongola!

Barabara hii imetelekezwa kwa muda mrefu sana naweza kusema toka uhuru, hasa kuanzia maeneo ya kitunda shule.

Kwa hisani yenu, uongozi wa jiji la Dsm, Tanroad, halmashauri ya jiji na wilaya ya Ilala, mbunge bwana Waitara na yeyote anayehusika, Tuwaombe mtutengenezee barabara hii!

Barabara hii wala haihitaji mtu kuvunjiwa nyumba na kulipwa kwa vile tayari wananchi walijenga nyumba zao vizuri tu mbali na hifadhi ya barabara. Mtusikie wakuu!!

Tunataabika sana wakazi wa Kivule na Msongola na kucheleweshewa maendeleo kwa sababu ya hii barabara!

View attachment 1079803View attachment 1079805View attachment 1079807View attachment 1079808View attachment 1079809View attachment 1079810
Poleni sana nilikaa huku mwaka 2008 ni miaka 11 toka niondoke huko sikutegemea kama hii barabara ingekua bado ipo hivi ...kwani huko hakuna mwakilishi ???
 
Ni barabara kubwa sana iliyonyooka inayoanzia Banana pale mbele kidogo ya Airport Dsm kuelekea maeneo ya Kitunda~Kivule mpaka Msongola!

Barabara hii imetelekezwa kwa muda mrefu sana naweza kusema toka uhuru, hasa kuanzia maeneo ya kitunda shule.

Kwa hisani yenu, uongozi wa jiji la Dsm, Tanroad, halmashauri ya jiji na wilaya ya Ilala, mbunge bwana Waitara na yeyote anayehusika, Tuwaombe mtutengenezee barabara hii!

Barabara hii wala haihitaji mtu kuvunjiwa nyumba na kulipwa kwa vile tayari wananchi walijenga nyumba zao vizuri tu mbali na hifadhi ya barabara. Mtusikie wakuu!!

Tunataabika sana wakazi wa Kivule na Msongola na kucheleweshewa maendeleo kwa sababu ya hii barabara!

View attachment 1079803View attachment 1079805View attachment 1079807View attachment 1079808View attachment 1079809View attachment 1079810
mwita mwikwabe anahusika hapo
 
kaka katika huo mradi ukiacha hizo kata , kuna barabara kibao za hao middle class kama chang'ombe,kijitonyama,kilongawima,sokota mpaka kwa azizi ali,kijichi tuangoma na zingine kibao, hivyo tunaloona hapa ni uzembe tu wa waliokuwepo wakati wa mchakato ndio maana kata za kitunda na kivule hakuna barabara ni mahandaki.
Kivule si mnatumia Baiskeli hata Barabara zikiwa na Mahandaki hakuna shida
 
Waitara ni mkaazi wa kitunda kivule kule muembeni naamini kama hajahamia masaki atakua mtumiaji wa hiyo balabala kumbukeni jamaa ni mzee wa liqid kupindukia
Waitara hata watoto wake wamehamishwa Zawadi Primary unategemea ye ataendelea kuwepo huko? Bar ya Vegetable haonekani.Kifupi Waitara sio mnyonge tena yaani siyo mwenzetu
 
Back
Top Bottom