makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 30,515
- 89,235
Kuna umuhimu kila mwanakigamboni kujua kuogelea maana hii hali si hali, sasa hivi ukitaka kuhamia kigamboni unatahiniwa kwanza, ipo siku mtakuja kuskia rest in peace watu buku... Sasa sijui mamlaka husika haioni au hatua zaid zitachukuliwa mpaka roho za watu zitakaposogea mbele ya muumba.. Kakivuko kadogo watu lundo.