![]()
Source:Mzee wa Sumo.
Nani aliyesema au anayesema kuwa utamaduni wa mtanzania ni kuvaa mavazi yanayofunika mwili mpaka chini?
Hapo umesema baba,mbona zamani watu walikuwa wanavaa hivyo na hakukuwa na kesi za ubakaji wala nini,hii ya sasa hivi ni mibaradhuli tu ambayo hata kutongoza haijui,na ikitongoza inakataliwa kwa sababu mingine hata haiogi na mwisho wake inakimbilia kupigia kelele dada zetu na kuwabaka, mimi napendekeza mijamaa ya aina hiyo ifungwe mpaka ife kabisa.
mkuu,ilyabi imenikumbusha mbali,kuna kipind bibi yangu alikuwa ananituka anasema,lyabi lya nyokoHapana Paka Jimmy. Hili vazi ni la wanyakyusa na linaitwa ILYABI ( say: eilyab'hi). Nimewahi kuona miaka ya late 70's ilikuwa ikitengenezwa kwa magome ya miti. Sikuona inavyovaliwa, lakini iliwekwa na babu yetu kama kumbukumbu. Ingawa sikushuhudia, lakini nyaya yetu , yaani mama yake na babu yangu alivishwa hilo vazi alipofariki mwaka 1977.
Haswaaaa!Hapana Paka Jimmy. Hili vazi ni la wanyakyusa na linaitwa ILYABI ( say: eilyab'hi). Nimewahi kuona miaka ya late 70's ilikuwa ikitengenezwa kwa magome ya miti. Sikuona inavyovaliwa, lakini iliwekwa na babu yetu kama kumbukumbu. Ingawa sikushuhudia, lakini nyaya yetu , yaani mama yake na babu yangu alivishwa hilo vazi alipofariki mwaka 1977.
Hilo halijabadilika hata leo, ni wanaume wachache walioenda Mbeya wakarudi bado mabachela!Nimekubali, wako soft hao!
Hilo halijabadilika hata leo, ni wanaume wachache walioenda Mbeya wakarudi bado mabachela!
Asante mkuu!True.
Nina jamaa yangu alianzia kazi kule miaka ya mwishoni mwa 80 akaoa hukohuko na kuweka makazi ya kudumu kabisa. Saizi anagonga Kinyakyusa utafikiri ni mzaliwa.
Ila siku hizi kuna wachache wanajichafua na mikorogo!
inabidi tudumishe mila zetu
![]()
Source:Mzee wa Sumo.
Nani aliyesema au anayesema kuwa utamaduni wa mtanzania ni kuvaa mavazi yanayofunika mwili mpaka chini?