St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,894
- 5,032
Source:Mzee wa Sumo.
Nani aliyesema au anayesema kuwa utamaduni wa mtanzania ni kuvaa mavazi yanayofunika mwili mpaka chini?
inabidi tudumishe mila zetu
Apo sasa,safi sana mkuu maana siku hizi dada zetu wakijinafasi na vimini watu kelele utafikiri fisi kaingia sokoni,ooh utamaduni wa mtanzania,sijui wanakiuka mila,haya mila zetu ndio hizo sasa, mbona mnawanyanyasa(MNAWANYANYAPAA) akina dada wakijivalia vimini vyao?
kama mtu anataka kupiga kimini apige kuwe na freedom lakini usivunje sheria za nji..ukibaka unakula mvua hata mia moja na ushee...
Watu wa zamani sio wa watu wa leo kaka!!!!
Leo kuna saloon, misosi yenye kuongeza mihemko ya mwili na kila aina ya upambaji wa mahekalu. Ukumbuke pia tamaa imeonegezeka sio ya mali tu hata ya ngono haya yote yanatuzunguka. Kaazi kweli kweliiii
Hahahha sipati picha mtu kavaa hivi halafu umepanda daladala limejaaa hah ahahhahha
Source:Mzee wa Sumo.
Nani aliyesema au anayesema kuwa utamaduni wa mtanzania ni kuvaa mavazi yanayofunika mwili mpaka chini?
Wanyakyusa walishaanza kuvaa bikini siku nyingi kabla ya wazungu!! Dala Dala utapanda wewe Maria, wanyakyusa wao ni kutembea tu na ndio maana wana usafiri wa nguvu sio kama nyie wachaga!! Hili vazi kama sikosei walikuwa wanavaa wakina mama wakati wakicheza ngoma yao "Indingara"Hahahha sipati picha mtu kavaa hivi halafu umepanda daladala limejaaa hah ahahhahha
hawa si wanyakyusa
Hahahha sipati picha mtu kavaa hivi halafu umepanda daladala limejaaa hah ahahhahha
Zaidi sana na weza nikasema huu ni udhalilishaji uliofanywa na wakoloni in the name of missionaries or whatever the dogs.
Kwa kuangalia tu, hao watu hawako katika maisha ya kawaida hapo, aidha kuna sherehe, au kusanyiko fulani, au kitu kama ngoma or the kind!
Hiyo kwa kukadiria ni miaka ya 50-60s, na wana miamvuli kabisa hali inayoonyesha wakoloni/ustaarabu ushaingia huko zamani, isingewezekana hayo yawe ndo maisha ya kila siku!