Dats so sweet ilove dat simple bt elligent
na joto la hili jiji npo na pens black, chin sendoz za macklet khak juu tishrt dark green... wit few madaftari naingia lecture
Halafu kumbe ndo wewee, nimekuona mahali unatuma hii post, lol.
chini nina kitu cha kiatu rang nyeupeb[chomamoyo kwa mnaoifaham] suruali blue, juu shati ya mixa ya kijani, njano na nyekundu...utantakaa sasaaa
Leo mimi nipo ndan ya kigauni kimoja hivii short one n kinarangirangi kama nne hivixup mbona ujaxema we umetupia nin thatha..
Haya tena kesii hiyoohahahahaha kmbe ulikuepo, kwel macho unayo.. tha yule dada ulikua unamsumbulia nin pale.!!!
Leo mimi nipo ndan ya kigauni kimoja hivii short one n kinarangirangi kama nne hivi
Blu nyeupe nyeus n light green,chin nina simle black, blugreenish button earings,my watch kama kawa the black one my black handbag ntake nini tena wish unione junior
dah na ulivyobarikiwa miguu cpat pcha unavo itendea haki hiyo shrt skirt.. pitia uku bax nkuone kabsa
kama unavoniona hapo nipo hosptal na maza.....
hajambo kidogo mama mdogodada mama anaendeleaje jamani
pole sana mdada.
beibe nasty, me nimetupia kiskirt changu cha ukweeee, dah huwa nakipenda sana na shati la mikono mifupi la rangi ya light blue na kiskafu cha kishkaji c unajua tena wadada "kitu skafu eeh" ya rangi nyeusi. for shoo am presentable today hadi najikubali! Mkoba kitu cha cha SUSEN na kwa chini leather ya ukweli inayoendana na mkoba.......haya kumekucha na makucha yake kama kawaida mi lazima nikujulie hali wewe mwana jf, jaman ila nataka nijue leo umevaaje? Umetokelezeaje judgement swir,mbuty,kongosho, firstlady1, b52, young master, maprosoo, charming girl, na wengine wengi
N.B.: rangi muhimu kusema.
Pole jamn smile in God we trusthajambo kidogo mama mdogo
tunamshukuru mungu