donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Cholestrol nyingi sana....Sisi wazee hio ni hatari kwetu.
KibishiAisee
Ushapigwa mashuti mkuumkuu ugari utakutosha huo?
Si unajua mkuuNguna ya kiushkaji na chachandu hapo mwake
Taraatiib by nambaNa kipaja na mbilimbi mazeee,kitu mlima kinakwenda..
Mkuu sisi kazi zetu nzito sana we need enough caloriesCholestrol nyingi sana....Sisi wazee hio ni hatari kwetu.
Upo vizuriSi unajua mkuu
Mlenda pori na ugali wa mhogo hunitoiKibishi
mkuu ugari utakutosha huo?
mkuu ugari utakutosha huo?
Ok safi sanaHuyu hapendi ugali anafatia izo mboga tu
huu ugali kuna round nyingine ama ndiyo imetoka hiyo....?