Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
Habari zenu jamani,napenda kujua gharama za kupiga plasta,nyumba ipo katika mazingira ya kiuswazi,ni nyumba kuukuu inafanyiwa ukarabati tu,Napenda kujua gharama za kupiga chumba kimoja plasta ni kiasi gani na pia kama kuna fundi alishawahi kukufanyia kazi ya plasta unaweza ukani pm tukielewana nimpatie kazi