Mifupa... Kwani ndo vinafanya unekane u binadamu kamili, kama tungekuwa hatuna mifupa tungekuwa kama Amoeba au funza tukitembea!:A S-heart-2:Hivi ukiambiwa utaje kiungo gani cha mwiliwako unachokipenda zaidi kuliko vingine na kwanini..jibu lako lingekuwa kiungo gani?
Mifupa... Kwani ndo vinafanya unekane u binadamu kamili, kama tungekuwa hatuna mifupa tungekuwa kama Amoeba au funza tukitembea!:A S-heart-2:
pumbu kwani ni kiwanda cha uzalishaji
Eeh umeisoma... Vingine vyote haviwezi kuwa na maana kama huna mifupa ndugu. kwani mtu angekuwa kama kalimati hivi macho na hizo na nani hii zingekaaje? Tafakari....😛eace::drum::first:du great thinker