Hayo umeandika wewe mkuu,soma nilichomaanisha...sijaandika hayo uliyoandika .....ushasema akipata ajaliKwa hiyo siku Mume akipata maradhi, ajali au uwezo wake wa kipato ukiwa chini, ndoa ndio hali Jojo?
Kifupi unataka tuamini kuwa unathamini mtu mwenye kitu badala ya utu?
Mpaka nasema kuachiwa majukumu means natumia pesa yangu kulea watoto wakati pesa yake haiwajibiki.....Ukitaka kuwa mwanaume wajibika mkuuWakati huo we una provide nini katika union yenu
Sasa wewe una oa wanawake ambao KUTWA wako jf unategemea nini?Dah aisee mi kiburi tu hawa watu kiburiiiiii
Huko kwao walimpa hayo yote?
Kweli wanaosema mnufaika ni mwanamke hawajakosea, sasa Kungwi hivi pia ndio mnawaambia mabinti kuwa wanastahili kuvikuta kwetu ama!!?
Huku ni kuwajaza ujinga mabinti.
Hvyo vyote babake(ambae alikuepo duniani kabla yangu), kashindwa kumpa afu unataka mm mwenye miaka 20s dunian nihangaike kumpa!!! Duh yeye ananpa nn zaidi ya mbususu ambayo pale riverside nainunua kwa buku tano tu?
Acha upimbi
Yote kafanya Manara na Bado kaachwa Dubai?
Yeye atakuwa anatoa nini?
Hapo umetaja wanaume karbia sita tofautiMpe matumizi mazuri
Mpe nyumba nzuri
Mpe gari nzuri
Mpe mapenzi ya kutosha
Mpe pesa ya kutosha- hata awe anakutunzia tuu impe uhakika wa maisha🤣🤣😐
Halafu Rudi utuambie kama bado ana kiburi😎😎😎
Kwa maisha haya haya ya tozo ? Labda kama ulikuja duniani kufurahisha mwanamkeMpe matumizi mazuri
Mpe nyumba nzuri
Mpe gari nzuri
Mpe mapenzi ya kutosha
Mpe pesa ya kutosha- hata awe anakutunzia tuu impe uhakika wa maisha
Halafu Rudi utuambie kama bado ana kiburi
Ndo nashangaa mkuu...iv kwa akii za huyo mama atamshaurI nini bint wake???ndo wanaotuletea wanawake vilaza ambao wamejazwa ujinga na sumu kwa waume zaoKweli wanaosema mnufaika ni mwanamke hawajakosea, sasa Kungwi hivi pia ndio mnawaambia mabinti kuwa wanastahili kuvikuta kwetu ama!!?
Wapo busy na TiktokKila mtu siku hizi ni mjuaji,utandawazi nao unachangia,kila mtu yupo busy,watoto kutwa mitandaoni.
Mimi pia aunt nimekumiss umeadimika sanaaunt yangu nakupenda nime kumiss
Ndo
Ndo nashangaa mkuu...iv kwa akii za huyo mama atamshaurI nini bint wake???ndo wanaotuletea wanawake vilaza ambao wamejazwa ujinga na sumu kwa waume zao
Hali inatisha sana ila nafikiri wanawake nao Wana mengi ya kuongea kuhus ndoazao ila hawana pa kusemea sio rahis mtu amsalit mtu anaempenda Tena mumewe wa ndoa huenda kunamengi sirini hatuyajui lkn huko tunakoenda nafikiri hakutakuwa na ndoa na ukweli ni Kwamba vijana wengi ni waharibifu sana wa mabint huenda pia wanayopitia kwenye ndoa zao Ilikuwa karmaUwa nawaza kwa sauti ndogo sana,kwamba haya mambo mambo na story nazozisikia Jf mala Mama flani kachepuka na mpenzi wake wa Zamani,Au Mke wa flani amefumaniwa akijamiiana hospitali na kijana muuza nyama.
Au jinsi ambavyo mke wangu alichepuka siku ya ndoa yangu ni uzi wa mdau mmoja hivi.
Aisee kama hayo mambo yote ndivyo yalivyo katika maisha Halisi, basi wakubwa ni waambie tu jambo la NDOA litabaki kuwa historia miaka Mingi Ijayo, Maana aya mambo ya kuchapiwa binafsi yangu uwa sikubaliani nayo kabisa.
Wakati huo wewe unakuwa ukifanya nini?Mi niwe mkweli...kitakachonituliza ndani ni mume Mwenye kuwajibika kwa familia yake tu...ila ukishaniachia majukumu for 80% usitegemee kukuheshimu as a man