Kiumbe gani kinapokufa kinatoa harufu nzuri?

ZNM

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
1,219
Reaction score
1,281
Jamani, kuna namna huwa nakaa nafikiria juu ya masuala kadhaa bila kupata majibu yake, sasa leo hili limenisumbua na ninaomba great thinkers wa JF mnisaidie majibu yake. Jamani ni kiumbe gani ambacho kinapokufa na kuoza kinatoa harufu nzuri na ya kuvutia kwa watu/binadamu?
 
Umeshasema kinachokufa na kuoza, Kitu chochote kilichooza lazima kitoe harufu.

Na hakuna harufu nzuri, neno harufu limebeba maana ya hewa mbaya.

Na kinyume cha harufu ni kunukia, hivyo kitu chochote kilichooza kamwe hakiwezi kunukia.
 
Jamani, kuna namna huwa nakaa nafikiria juu ya masuala kadhaa bila kupata majibu yake, sasa leo hili limenisumbua na ninaomba great thinkers wa JF mnisaidie majibu yake. Jamani ni kiumbe gani ambacho kinapokufa na kuoza kinatoa harufu nzuri na ya kuvutia kwa watu/binadamu?
Kuoza ni kuharibika...
 
Back
Top Bottom