Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara?

Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?

Acha hiyo maneno
 
Mimi naona tukate shauri kupeleka muswada bungeni wa kufuta vyama vya upinzani tubaki na chama kimoja tu kwa kuwa ndio utamaduni wetu. Halafu tuvunje bunge tubaki na serikali tu maana hata bunge nalo halina maana uoyote kwa sasa. Hapo tutaokoa pesa nyingi sana pasi na kumpa nafasi zaidi Rais afanye anayotaka maana ana uwezo sana.
 
Tume ya uchaguzi na Police wapo chini ya chama gani Njoo hoja ndugu kuandika ni rahisi sana tatizo ni hapo kwenye hoja yenyewe
 
Back
Top Bottom