Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara?

Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?

Sasa mkuu kama ccm inaanda uchaguzi yenyewe,inasimamia yenyewe,inahesabu kura yenyewe na inatangaza matokeo unataka matokeo yaweje mwisho wa Siku? Si unaona Zanzibar tulivyojaribu kushirikisha watu wengine wasio wa chama chetu mambo yalivyokuwa?
 
Sasa mkuu kama ccm inaanda uchaguzi yenyewe,inasimamia yenyewe,inahesabu kura yenyewe na inatangaza matokeo unataka matokeo yaweje mwisho wa Siku? Si unaona Zanzibar tulivyojaribu kushirikisha watu wengine wasio wa chama chetu mambo yalivyokuwa?
Basi tusishiriki huo uchaguzi,kwa sababu tusitegemee mapya,na ndio maana nimesema sisi wote ni ccm tu automatically,utake usitake
 
Endelea kujidanganya. Ngojea kanga, T shirt, kofia na ubwabwa 2020.
 
Kuna kaukweli hapo, hivi Lipumba, Slaa, Kingunge, Sumaye , Lowasa n.k, walikwisha rudisha kadi za CCM? Maana walikuwa wamelipia hadi mwaka 2025.

Hahaaaaaaah CCM oyeeeeh
 
Hili ndio kosa letu kubwa huwa hatusomi tukaelewa
Umeona eeh! Wewe ulitaka tukuitikie ndiyooooo! Haya, zidumu fikra za mleta hoja!!! Mpaka hapo nitakuwa nimekusoma na kukuelewa. But, huna kitu kingine cha kutufikirisha zaidi ya habari za chama kikuukuu na chakavu kilichochokwa dhidi ya unaojiaminisha wote kuwa wanachama wake? You're too low upstairs dude!
 
Kuna kaukweli hapo, hivi Lipumba, Slaa, Kingunge, Sumaye , Lowasa n.k, walikwisha rudisha kadi za CCM? Maana walikuwa wamelipia hadi mwaka 2025.

Hahaaaaaaah CCM oyeeeeh
Sina kumbukukumbu hiyo,,hao hawajarudisha
 
Umasikini wa mali na fikra vina mchango mkubwa sana katika hali ya siasa iliyopo. Upinzani imara unajengwa na matajiri wa fikra chanya na mali.
Hata hivyo, wananchi wengi wakiwemo viongozi hawana fikra chanya, wawe CCM au upinzani, zaidi sana hufanya siasa za kujitafutia posho ya kuendesha maisha ya siku tu na wala hawajiamini na hawana msimamo.
Kwenye chama tawala wengi wanabebwa na historia, uwezo na uthubutu binafsi hawana, hawajui wanachokisimamia, zaidi sana wanaamini kwamba kuwa huko ni fursa za ulaji.
Upinzani wapo wachache sana walioamua kutumia muda, fikra na mali zao kupambana bila kununulika kirahisi.
Kweli mkuu,angalia wengine wanavyoteuliwa
 
Mpaka 2020 huenda robo 3 ya wananchi watakuwa upinzani.lakini kwa matarajio ya wizi wa kura huenda CCM ikashinda kwa 90% .

Reference yangu ni Mwenyekiti kuchaguliwa kwa 100%.

Magufuli kaza baba kaza mpaka tuumie tujute tuheshimiane, kaza tena mkanda baba kaza mpaka mwisho
Na anakaza kwelikweli
 
Juvenile leo umeamua kunitusi ila asante sana matusi kwangu mwiko namuachia Mungu ndo mjuaji 🙄 🙄 🙄 🙄
 
Naona ni Propaganda rasmi ya kufanya Chama Chetu kitukutu cha Mauaji kinapojipa ujiko wa kupokea Wapinzani kila dakika.

Any way CCM ni watu kama akina Lipumba na Magdalene Sakaya.
 
wananchi wote ni CCM asiye amini asubiri 2020

Labda kwa kuiba.Siku nikimpigia kura jamaa yeyote wa CCM labda nakaribia kukata roho au nikiwa nimekufa maana Yawezekana kwa Marehemu kupiga kura maana kwa CCM vyote vinawezekana maana hata Marehemu Mama yake Zitto akipiga kura kwenye Bunge LA Katiba.
 
Naona ni Propaganda rasmi ya kufanya Chama Chetu kitukutu cha Mauaji kinapojipa ujiko wa kupokea Wapinzani kila dakika.

Any way CCM ni watu kama akina Lipumba na Magdalene Sakaya.
mkuu mbona kama una hasira sana
 
Back
Top Bottom