Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Thread ya kichovu kushinda zote toka mwezi huu uanze.
 
Siyo kuwa watanzania wote ni ccm bali wanaccm ni wengi zaidi kuliko wa vyama vya upinzani lakini pia wapo watanznia wengi hawana vyama hupima hoja za mgombea ndiyo huamini.
 
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara? Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?
Wewe utakuwa ni mkurugenzi wa twaweza unatumia akaunti hii kuleta tafiti zenu za kinafiki
 
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara? Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?
yako mengi yaliyopelekea kushindwa na nakuambia kwa katiba hii na hali ilivyo ccm haiwezi kutoka madarakani wasimamizi wa majimbo ni makada na wateuliwa wa mwenyekiti wa chama unategemea nini?tume ya uchaguzi sio huru mana anayeiteua nae pia anagombea wasimamizi wote kuanzia polisi tume jeshi wote wanakuwa upande wa chama tawala kiujumla mfumo wetu ni mbovu na bado sana
 
Sisi tumeelimika usitujumuishe kwenye dubwana la ajabu ajabu namna hiyo, hilo baki nalo mwenyewe na akina Jah pipo, na Lusinde aliyehojiwa na polisi kwa tuhuma za kuhamasisha wananchi wa jimbo lake kushambulia watafiti na kuuliwa wakiamini ni wanyonya damu
 
Kweli upinzani bado sana, Upinzani hauna dhamira ya kweli ukiwaangalia wote ni hatari kama alivyowai kutwambia Tundulisu
 
Kweli kabisa mleta mada.

Hizi Sacco's za ufipa hazina maana yoyote mbele ya jamii
 
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara? Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?
Mmh akili hizi cyo bure:

Hujashiriki kweli kuua watafiti mkidhani wanyonya damu kule kwenu
 
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara? Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?
Mimi sipo huko na haitokaa itokee nitakuwa kama wale wanyama waliochagua kuingia baharini kuliko kuishi na yale madude ndani ya miilo yao
 
Mleta hoja naona wenye lumumba st wamekutuma kutuhoji ili kujua idadi ya wafuasi wenu wa kuisoma namba.
Kwa taarifa yako nchi hii haina mwanachama wa ccm hata mmoja. Wote wapo upinzani. Kipimo ni kidogo sana kuthibitisha hili. Jaribu kumvua nape vyeo vyote alivyo navyo ndani ya ccm kisha umprovoke kidogo tu kama hajajiunga na cuf baada ya nusu saa.
 
Dr Slaa aliondoka CHADEMA baada ya jaribio lake la kutoka kwenda kula mihogo Ikulu kukataliwa na wana UKAWA yeye na Propesa Lipumbavu wakaamua kuchukua pesa za CCM na kusepa.

Dr.Slaa aliondoka" CDM KWENDA IKULU KULA MHOGO" Slaa yupi anaongelewa hapa? Wilboard? Niambie ELN nini kilimtoa CCM kw cdm.
 
yako mengi yaliyopelekea kushindwa na nakuambia kwa katiba hii na hali ilivyo ccm haiwezi kutoka madarakani wasimamizi wa majimbo ni makada na wateuliwa wa mwenyekiti wa chama unategemea nini?tume ya uchaguzi sio huru mana anayeiteua nae pia anagombea wasimamizi wote kuanzia polisi tume jeshi wote wanakuwa upande wa chama tawala kiujumla mfumo wetu ni mbovu na bado sana

Sasa kwa nini mnaingia uchaguzi na kutumia fedha nyingi kufanya kampeni kama mnajua kwamba mnaibiwa?
 
Mleta hoja naona wenye lumumba st wamekutuma kutuhoji ili kujua idadi ya wafuasi wenu wa kuisoma namba.
Kwa taarifa yako nchi hii haina mwanachama wa ccm hata mmoja. Wote wapo upinzani. Kipimo ni kidogo sana kuthibitisha hili. Jaribu kumvua nape vyeo vyote alivyo navyo ndani ya ccm kisha umprovoke kidogo tu kama hajajiunga na cuf baada ya nusu saa.
Hili ndio kosa letu kubwa huwa hatusomi tukaelewa
 
Dr.Slaa aliondoka" CDM KWENDA IKULU KULA MHOGO" Slaa yupi anaongelewa hapa? Wilboard? Niambie ELN nini kilimtoa CCM kw cdm.
Dogo anamkosea heshima slaa,,yule mtu ni mfano wa kuigwa,hayarudii matapishi yake,alisema lowasa ni mwizi na hajabadili msimamo wake,alisema anaacha siasa na kweli kaacha siasa
 
Back
Top Bottom