Hahahahahaaa you made my day for sure! Hapa hutamuona hata mmoja, ila ungeweka kuhusu Kiba tu ungekoma!
Diamond ana matatizo ya akili sio mzima, mijitu isiyoenda shule kazi kweli mxiuuu, ndio nn kudanganya mxiuuu
na nani?

alisema tv nini...?
Mi nashangaa Sana watu wenye akili zao nap eti wana Team Mara kiba Mara cjui diamond.....Hivi mnapata nini kwa kuwateta na kuwasifia hawa jamaa!! Wakila wakilala wakipumua mnakiwa mnafaidika na mini
Maana naona humu kila siku watu mapovu yanawatoma kuwasifia hawa jamaa. Wako radhi washinde kutwa nzima kwenye keyboard kwa ajili yao......Kueni....Hata hawawajui Kama Mnaexist

mkuu hakuna cha TV wala VIDEO.
Hivi unajisikiaje leo unainjoy steshen ya Wasafi, mnapendaga sana kupiga majungu afu mambo yakishakamilika ndo mnakuwaga viherehere wa kwanzaJamani nawauliza mashabiki wa Dimond kituo chake cha TV kimeishia wapi maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu kinanidanganya.
Vipi bado alikurupuka au, Leo huoni hata aibualilopoka tuu c unajua ni bwana misifa nae kama mzee 12 - 6
Sijawahi kuona Taarifa ya habari, documentary au uchambuzi wa mambo muhimu kwa nchi. Naona Kama wamechomeka extenal Hard Disc tuHivi unajisikiaje leo unainjoy steshen ya Wasafi, mnapendaga sana kupiga majungu afu mambo yakishakamilika ndo mnakuwaga viherehere wa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app