Wanamgambo 17 wa Israel wameuawa kwenye mapigano na wapiganaji wa Lebanon

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Wanamgambo wa Israel jioni hii wamechezea kipigo cha mbwa mwizi toka kwa Wapiganaji wa Lebanon na kupoteza maisha 17 na majeruhi 55

---
Hezbollah killed 17 Israeli soldiers at the Lebanon border since October 7, strategic analyst Hussam Matar said on Wednesday.

In an interview with Al-Jadeed Lebanese TV channel, Matar said that the Zionist entity “is in a state of madness over the fiercest blow the resistance has dealt to in October 7th.”

“Zionist entity’s northern front has been considered as one of the world’s most fortified fronts. Though, the Islamic Resistance in Lebanon killed at least 17 soldiers and destroyed a number of tanks and armored vehicles,” said the holder of a PhD degree in International Relations.

“Until yesterday, the Islamic Resistance killed 17 soldiers, injured 55 others, destroyed more than 10 vehicles in 89 operations that hit 40 Israeli targets,” Matar said, noting that dozens of surveillance systems across the border were disabled due to the resistance attacks.

Source: Al-Manar English Website
 
Da!!! Eti wanamgambo.
Wakianza kuifukuafukua lebanon tutawaita makomandoo wanawaonea wenzao kwa sababu hawana vifaa.
Ni Wanamgambo kwani hukusikia Serikali yao imeita Wanamgambo wake wote toka nje ya Nchi na ndani wajiunge na kwenye mapigano
 
BREAKING: Iran announces large-scale military training exercises starting tomorrow
IMG_20231026_210257.jpg
 
BREAKING:

️Al Shaddadi US base in Hassakah, Syria was reportedly under a missile/rocket attack 4 hours ago.

The US is still not responding to these attacks
IMG_20231026_210435.jpg
 
Hii kwa saizi inaweza kuwa ni habari njema sana kwa waislam lakini mwisho siku hao hao waislamu wataanza kulalamika humu humu jf utasikia ohoo Israel wanaroho mbaya.
Kila kitu mnapenda kuingiza udini. So far Wakristo Wamepigwa zaidi majengo yao Makubwa kuliko hata Waisilamu, Hospitali yao kubwa kabisa Palestina imelipuliwa na Hata Kanisa Lao limelipuliwa. Hio ni Hospitali ya mwisho hawana Nyengine Gaza.

Hezbollah Inaungwa mkono na Wakristo Wa Lebanon wote washia Na Wakristo wanapigana na Isis na makundi mengine yanayoletwa na wa marekani.

Inshort wa marekani na makundi yao ni Adui mkubwa wa Wakristo Wa Middle East
 
Wacha tuone walikua wanaonea wapalestina wasiokua na hatia,eti unaua watoto watoto ni hamas pia? Kaue wanajeshi huko au hao terrorists watoto wamekukosea nini
 
Hii kwa saizi inaweza kuwa ni habari njema sana kwa waislam lakini mwisho siku hao hao waislamu wataanza kulalamika humu humu jf utasikia ohoo Israel wanaroho mbaya.

Huu ni upuuzi kuamini wanaouliwa palestina ni waislam tu,hao zionists dont give a single shit about christians too,wanaua tu tena watu wasio na hatia,tatizo west wamejua kubrain wash watu
 
Hii kwa saizi inaweza kuwa ni habari njema sana kwa waislam lakini mwisho siku hao hao waislamu wataanza kulalamika humu humu jf utasikia ohoo Israel wanaroho mbaya.
Unapo ingiza neno Uislam una maanisha ni vita ya kidini, US wameweka Kambi Nchini Syria kwa makubaliano na nani?? Jaribu kuumiza ubongo wako mdogo kuchanganua mambo kabla ya kuropoka
 
Back
Top Bottom