Sio sawa, dhamana ni Haki ya Kila mtu kwa makosa yanayodhsminika!Paza Sauti kweli kweliImekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.
Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?
Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.
POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
Kuna vibaka eeh!Hiyo mitaa ina uhalifu sana. Niliwahi kunyakuliwa simu yangu na vijana wa bodaboda japo nilikwa mgeni. Hayo ya kutozana hela ni ya ovyo but vijana wa huko badilikeni muache wizi
Uonevu umekuwa part of system. Watanzania wasipo upiga vita. Wataendelea kugandamizwa tena na tenaImekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.
Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?
Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.
POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
Huo siyo uonevu! Hizo ni njaa tu. Hao jamaa unaweza ukafikiri labda hawalipwi mishahara na posho. Muda wote wananuka njaa tu.Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.
Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?
Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.
POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
Wafichueni hao vibaka mnaowafuga Maana kuna vibaka kweli kweli NILISHAWAHI kusimamisha mkweche wangu kumtetea dada mmoja walifanikiwa kuondoka na mkoba ila simu hawakuchukuaImekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.
Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?
Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.
POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
Dodoma Mkuu! Karibu na wizaraniKituo hicho kipo mkoa gan labda, tufahamu kwanza na kama kuna askari unamfaham anafanya uonevu tusaidie jina lake
Mahoma panaitwaM
Mtaa gani mkuu?