Kituo cha Polisi ''Kizuri sijapata kuona''Miaka 50 ya uhuru.

Kituo cha Polisi ''Kizuri sijapata kuona''Miaka 50 ya uhuru.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
ki.jpg
 
Kwa kweli inasikitisha sana, kuinama maswala ya muhimu hayapewi kipaumbele. Kweli Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
Hivi ni miaka 50 ya UHURU au miaka 50 ya UHUNI?? tuangalie jamani tusije tukawa hatuwaelewi hawa wenzetu.
 
chaggonjj badala ya kushughulika na mambo haya ya msingi anashinda ofisini kutunga vitisho.
 
Samahani na kumraadhi.... hicho ni kituo cha majambazi !!! kwa nchi kama TZ iwe na miundombinu aina hii ?? NO big NO..!
 
Hata mhalifu mwenye afya yenye mgogoro humo aajitahidi kujitoa!
 
MSALANI anaishi jirani na hicho kituo...poor him!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom