Kwa hiyo sababu ni ushirikina! Funny. Shida ya Polisi wa sasa wanakosa busara hivyo maamuzi yao huwa ni utata tu. Jambo dogo sasa limezaa kubwa.Ni kweli kimeharibiwa na wananchi tatizo ni kufungwa kwa mganga wa kienyeji kwa jina Manyaunyau anayefanya kazi ya kuondoa majini kwa wachawi.
Inavyosemekana wazee wachawi wa Bumbuli mjini wamekataa mganga huyo kufanya kazi hiyo kuhofia kuingia aibu.
Source mtu wa karibu aliyepo Bumbuli.
Yupo twira..........
Kuna watu kila kitu lawama kwa serikali nahisi hata wakipigana na wake zao lawama kwa serikali.
Siwashangai kwakuwa kila kitu kwenu ni mtaji. Suala hapa ni wazee wa stendi pale bumbuli ambao inasemekana ni washirikina sasa wamekataa huyo mganga kuwatoa majini na wakahonga polisi ili akamatwe huyo manyaunyau kuepusha aibu sasa wapi ccm kuchokwa hapo?
Mwanangu we muongo sana haufai kuaminiwa hata kidogo mambo ya ushilikina na siasa wapi na wapi?
Chadema wanazidi kuiharibu hii nchi!!!
duh,hii ni hatari sana,mbona wananchi wamebadilika sana siku hizi?
Kama amesema uongo ushuhudie uongo wake lakini kama amenena vyema mbona unamkashifu?
Mkuu watu wanapenda kuja na hoja za ufitinishi.! Labda tu unijuze ule uchaguzi wa serkali za mitaa bumbuli matokeo yalikuwaje? Inaelekea wanataka kuhusisha mambo hapoSiwashangai kwakuwa kila kitu kwenu ni mtaji wa kisiasa na usishangae mkalianzishia majadiliano ili kuonyesha mambo hayaposawa bumbuli ila mtakuwa mnajidanganya wenyewe. Suala hapa ni wazee wa stendi pale bumbuli ambao inasemekana ni washirikina sasa wamekataa huyo mganga kuwatoa majini na wakahonga polisi ili akamatwe huyo manyaunyau kuepusha aibu sasa wapi ccm kuchokwa hapo?
Huenda ikawa but hebu nijuze matokeo ya uchaguzi huo yalikuwaje?Mkuu!
Kisa ni ule uchaguzi wa serikali ya kijiji nini?
Hahahaha do you mean it? Vipi chadema mkuu?
Nawachokoza tu hawa watani zangu. Huwa nahangamshwa sana na overreaction zao.
Kumbe! But wenyewe hawaoni aibu kusema ni sisiyem. Lol
Mkuu watu wanapenda kuja na hoja za ufitinishi.! Labda tu unijuze ule uchaguzi wa serkali za mitaa bumbuli matokeo yalikuwaje? Inaelekea wanataka kuhusisha mambo hapo
Nyakati hizi tulioko ni ya uwazi na ukweli flu!
Hakuna mjinga tena!
Acha wanainchi wafanye watakavyo!
Na hiyo ni traller tu 2015 hakuna mjinga!