mbunge wao yupo busy saloon akioshwa kucha na SALAMA.Kuna taàrifa nimezipata kuwa kituo cha polisi cha BUMBULI kimechomwamoto baada ya mgongano wa polisi na wananchi..Naendelea kupata taarifa zaidi na kama alienipa taarifa kama naweza kunipatia picha..
Naambiwa na ofisi ya kata nayo imehalibiwa vibaya sana wanasema hawana mbunge wa kuatetea bali wana mbunge wa kwenye magazeti mkaazi wa dar es salaam ambaye ni january makamba..
Sisiemkama kisa itakuwa ule uchaguzi wa serikali ya kijiji unadhani wachomaji watakuwa akina nani mkuu?
uonevu gani wewe? Kila kitu kwako siasa tu.
Kwa hiyo kwenye sakata hili Janauary hahusiki? kuna mudau kwenye thread hii ameleta melezo ya january kutoka kwenye facebook na twitte kama kawaida yake ndiyo maana wananchi wamecho upumbavu wake...na uchaguzi mudogo uliofanyika majuzi ni ishara tosha kuwa wamechoka na mbunge wa facebook na twitte....Hii hoja nilivyoona tu aliyeileta nikajua ataforce ili kmchafua january makamba...january ni mchapakazi usimhusishe na huo upuuz
mbunge wa twita na fesibuku mjinga sana huyu dongo lakini nashukru wana bumbuli wamesha mshitukia juzi wamemuonyesha kwa kijiji kumchagua kiongozi wa chadema, huwezi kuongoza jimbo kwa twita hukuùkijua wananchi wako hata asilimi tano hawajui fb na twita..watu wa hivyo ni akina mnyika hao hata wakishinda twita nitamwelewa..
Kwanza sina mama mjinga kama wewe hivyo ukome kuniita mwanao, labda kama wewe ni kimada wa baba yangu...pili unaposema swala hili halina u-siasa ndani yake kwa hiyo na huyu January alichokiandika kwenye twitte ni tumwiteje au January siyo mwana siasa kwa kuwa ubunge alupata kwa dada yake kumvulia nguo boss wa Vodacom au wewe ndiyo Mwamvita Makamaba nakuambia kama ni wewe ndiye Mwaka 2015 utachochoa sana nguo kumuokoa kaka yako...Mwanangu we muongo sana haufai kuaminiwa hata kidogo mambo ya ushilikina na siasa wapi na wapi?
====Nimeona tweet ya januari makamba kuwa alimfukuza mganga huyo na kisha wazee wakachukia sana kwa yeye kufanya hivyo na mganga akaahidi kumuwinda januari
Na kweli wewe ni masaburi nashangaa hujapigwa ban wakati wengine tukitumia neno hili tunafungiwa....mchaguni slaa sasa.masabur kazini
Huogopi kungolewa kucha bila ngazi...hahahahaNiongezee hapo, tulipokuwa bumbuli kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Tamota niliwaambia Wananchi wa Bumbuli Kwa bahati mbaya sana wamechagua mbunge wa laptop. Na hili alilisema mwenyewe akiwa Dar, nikawaomba wa mtumie salamu wananchi wakanielewa kutoka kura 0 mpaka nafasi ya 2. Uchaguzi wa juzi wa vijiji wananchi wakamuonyesha.. Sasa tunamuhakikishia mbunge wa laptop 2015 asahau jimbo hilo. Nitatoka jimboni kwangu na kumuwekea kambi jimboni kwake utashi huwo ninao na anajua hilo maana alinisakama sana kwenye twita nilipo mwita mbunge wa laptop
Huogopi kungolewa kucha bila ngazi...hahahaha