Kituo cha kuuzia mafuta - victoria

Bond James

Member
Nov 25, 2010
54
7
Samahani Wana JF, naomba muuongozo. Kuna kituo cha kuuzia Mafuta pale Victoria (Ali Hassan mwinyi Road) hiki kituo
kinauza mafuta yaan Petrol and Diesel. Lakini siku ya Jumapili kituo hicho kina fungwa na kuwa sehemu ya maubiri,

Hivi kweli sheria na utaratibu wa biashara una ruhusu maubiri kufanyika katika sehemu ambayo ina hatari namna hiyo?

Kumbuka kuwa hiyo sehemu ina weza kutokea milipuko ya moto na pia eneo hilo ni sehemu ya kufanyia service and maintenance
ya magari.

Naomba muongozo
 
Sheria hairuhusu kituo cha mafuta kua karibu na makazi ya watu,
Sasa kwa case ya pale, labda wanaweza kujitetea kua wanapita tu, hawajaweka makazi ya kudumu!!!
Otherwise ni vituo vingi tu viko mitaani kwenye makazi ya watu kinyume na utaratibu kama kile cha karibu na soko la Mwananyamala au pale komkoma karibu na MK Bar
 
Kuweka kanisa na Kituo cha mafuta sehemu moja ni hatari. Ila serikali yetu hai-enforce utawala wa sheria.

Also kwenye fuel station nyingi ambazo wamiliki wake ni waislamu zinakuwa na sehemu ya kuswalia ambayo mtu yeyote anaweza kupark na kuswali, sema huwa hazina uwezo wa kuchukua watu wengi kwa wakati mmoja kama ilivyo pale victoria.
 
Mbona asilimia 90 ya vituo vya mafuta vina misikiti? Au huko watu wanaabudu kiumbe!
Mkuu, ile misikiti ni midogo kwa ajili ya wafanyakazi wa petrol station......... Of-course wanakuwa wa dini hiyohiyo.

Hili la pale Victoria ni kwamba, kuna kanisa.......inawezekana halijasajiliwa au hawajasema makao yao ni pale, lakini habari ndo hiyo.

Usitegemee cha maana kwenye serikali legelege!!
 
Mwenye macho haambiwi tazama!.
Watu wenye akili timamu ambao naamini wanayajuwa madhara ya petroli hawawezi kukusanya watu sehemu kama hiyo kwa ajili ya kisingizio cha ibada. Hata hiyo misikiti ndani ya vituo ni ubinafsi na kuonesha wanazo. Mbona misikiti ipo mingi tu mbali kidogo na vituo hivyo. Sheria zipo sote kwa ujumla wetu hatuzifuati au kuzitii. Wanaozisimamia ndio usiseme. Kitu kidogo wanavaa miwani za mbao.
 
Mkuu yule jamaa mwenye kituo cha victoria ni mkristo.na wakristo siku ya jumapili hawafanyi kazi.so pale ghorofani ambapo ndo kanisa lilipo ametoa kama sadaka kwa mch.Huruma Nkone. Lile kanisa linaitwa VICTORIA CHRISTIAN CENTRE ambalo linaongozwa na Mchungaji Huruma Nkone ambapo yule mwenye kituo cha mafuta ni muumin wake. Lile kanisa ni la kujiegesha kwa mda kwani kwa sasa kuna kanisa kubwa wanajenga kule KAWE. Nafikili likishakamilika watahamia. Mia
 
Mkuu yule jamaa mwenye kituo cha victoria ni mkiristo.na wakristo siku ya jumapili hawafanyi kazi.so pale ghorofani ambapo ndo kanisa lilipo ametoa kama sadaka kwa mch.Huruma Nkone. Lile kanisa linaitwa VICTORIA CHRISTIAN CENTRE ambapo yule mwenye kituo cha mafuta ni muumin wake. Lile kanisa ni la kujiegesha kwa mda kwani kwa sasa kuna kanisa kubwa wanajenga kule KAWE. Nafikili likishakamilika watahamia.isiwe tabu. Mia

umesomeka, mia, Nalog off, kisha Ntalog inn
respect.
 
Mkuu yule jamaa mwenye kituo cha victoria ni mkiristo.na wakristo siku ya jumapili hawafanyi kazi.so pale ghorofani ambapo ndo kanisa lilipo ametoa kama sadaka kwa mch.Huruma Nkone. Lile kanisa linaitwa VICTORIA CHRISTIAN CENTRE ambapo yule mwenye kituo cha mafuta ni muumin wake. Lile kanisa ni la kujiegesha kwa mda kwani kwa sasa kuna kanisa kubwa wanajenga kule KAWE. Nafikili likishakamilika watahamia.isiwe tabu. Mia
Unayoyasema yanawezaa kuwa kweli lakini pale tunatunza janga. watu wanaweza kuwa wanasali kwenye ghorofa lakini ukipta jumapili utaona kwua ile station yote inageuzwa kuwa parking lot. Nadhani kuna janga linasubiri kutokea pale. kama wanaandaa kanisa ni vema wakatafuta mahali salama kwa ajili ya kufanyia ibada kwa muda wakati wanasubiri kanisa lao likamilike
 
Hawa hawa, vituo vyao ndo sehemu ya kuchinjia mbuzi cum kondoo wa sadaka-wao hawali: sasa hapo ni ngoma droo. Muislam anachinja kwa kutoa kafara, mkristo anamwita Jesus alinde kituo chake. Nadahni sasa hoja ya msingi ni tujadiri what is wrong with biashara ya mafuta hapa Tanzania, dealers wake wengi ni waharifu waliokithiri, wamewaweka viongozi na serikali yote mfukoni ndo maana hawawezi kuchukuliwa hatua yoyote, na above all-wanafanya open superstition kutudhihirishia kuwa siyo biashara ya kawaida. kuanzia mwakani naanza kupambana na hawa devilish, naleta pikipiki za miguu mitatu zinazotumia umeme, baadae naleta magari kutoka kule kwa madiba, no doubt, ajari za magari ni devils made na si uzembe wa madereva kama wanavyosingizia. Ciao
Kuweka kanisa na Kituo cha mafuta sehemu moja ni hatari. Ila serikali yetu hai-enforce utawala wa sheria.

Also kwenye fuel station nyingi ambazo wamiliki wake ni waislamu zinakuwa na sehemu ya kuswalia ambayo mtu yeyote anaweza kupark na kuswali, sema huwa hazina uwezo wa kuchukua watu wengi kwa wakati mmoja kama ilivyo pale victoria.
 
Mbona asilimia 90 ya vituo vya mafuta vina misikiti? Au huko watu wanaabudu kiumbe!
wanaabudu 'Mwenyezi Mungu Mmoja' kwa siku mara 5, Yeye hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na chochote ! Hasinzii wala hashikwi na njaa wala hafikwi na mauti. Analolitaka huliambia 'Kuwa! ........ na linakuwa'
 
"KUNYA ANYE KUKU, AKINYA BATA KAHARISHA". Kwa kuwa misikiti ni midogo basi ina haki ya kuvunja sheria. LOH !!!!
Mkuu, ile misikiti ni midogo kwa ajili ya wafanyakazi wa petrol station......... Of-course wanakuwa wa dini hiyohiyo.

Hili la pale Victoria ni kwamba, kuna kanisa.......inawezekana halijasajiliwa au hawajasema makao yao ni pale, lakini habari ndo hiyo.

Usitegemee cha maana kwenye serikali legelege!!
 
mi nadhani mtoa mada hakua na nia ya kuleta udini hapa nyie mloanza kusema mbona vituo vingine vina miskiti hebu tizameni hizo akili zenu na mitazamo yenu kama inafikiria vizuri na nna wasi na mitihani mlofanya kama hamjapata zero!!SWALI JINGINE MWAJIBU VINGINE!! JICHUNGUZENI VIZURI!!!
 
Back
Top Bottom