Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,681 Mar 5, 2013 #1 Kikundi cha watu wenye silaha kimeteka nyara vituo viwili vya kupigia kura huko Garissa Kaskazini mwa Kenya karibu mwa mpaka wake na Somalia. Vilevile imeelezwa kuwa watu wapatao 19 wameuawa katika matukio mbalimbali yanayohusiana na uchaguzi. Chanzo: Gazeti la Metro 5.3.13
Kikundi cha watu wenye silaha kimeteka nyara vituo viwili vya kupigia kura huko Garissa Kaskazini mwa Kenya karibu mwa mpaka wake na Somalia. Vilevile imeelezwa kuwa watu wapatao 19 wameuawa katika matukio mbalimbali yanayohusiana na uchaguzi. Chanzo: Gazeti la Metro 5.3.13
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 Mar 5, 2013 #2 Garissa huko nao walikuwa na mgombea wao wa urais sijui alipata kura ngapi.
meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,828 Mar 5, 2013 #3 hii habari ya lini? ZeMarcopolo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,681 Mar 5, 2013 Thread starter #4 meningitis said: hii habari ya lini? ZeMarcopolo Click to expand... Gazeti la tarehe 5.3.2013 nimeweka kipande hapo.
meningitis said: hii habari ya lini? ZeMarcopolo Click to expand... Gazeti la tarehe 5.3.2013 nimeweka kipande hapo.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,982 Reaction score 134,119 Mar 6, 2013 #5 ZeMarcopolo said: Gazeti la tarehe 5.3.2013 nimeweka kipande hapo. Click to expand... Ni aibu kwa Gamba kuripoti habari hii.........maana ndo kamchezo mnakojua kukacheza
ZeMarcopolo said: Gazeti la tarehe 5.3.2013 nimeweka kipande hapo. Click to expand... Ni aibu kwa Gamba kuripoti habari hii.........maana ndo kamchezo mnakojua kukacheza
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,439 Mar 6, 2013 #6 inawezekana kinana na wenzake ndio mbinu walizopeleka Kenya,ccm bana!
Josephine JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 786 Reaction score 812 Mar 6, 2013 #7 Kinana @work. When i had of his move to Kenya i was very disappointed.