Nimeambiwa kitunguu swaumu huongeza mshawasha kwenye suala zima la mapenzi! Kama kuna mzoefu anaweza nihabarisha.
The might garlic.
Sharing is Sexy!
Swali lako bado ni tata,
Hapo mtumiaji wa Kitunguu ni mwanamke ama mwanaume au wote?
Mshawasha unaozungumzia ni upi? KUkawia? ama Kukakamaa kwa muda mrefu? ama?
Kwa wanaume bwana! Ninachojua mwanaume akiisha mwandaa mwanamke wakiwa kwenye harakati za kuanza yale mambo ya kikubwa akipaka kwenye uume wake ama kwenye kichwa cha C.ndom na kuanza kulimana basi mdada atapata multiple orgasm maana atakuwa anawashwa kwa utamu. Hii nimeambiwa na wahenga.....do not try at home. Sasa sijui kama kuna faida nyingine.
Wakati mimi huwa natafuna vipande vya kitunguu swaumu kama dawa, kumbe wengine wanafanyia MISHAWASHA YA SARAKASI???
Sasa inatumikaje??
Unapakaa sehemu baada ya kuisaga au?? :twitch:
Hahahahah huenda inakuaongezea umaarufu na heshima kwa mwenza wako! Tafuna kilo nzima kwa siku.
Hii itabidi niiongezee kwenye ile manual yangu.....Kwa wanaume bwana! Ninachojua mwanaume akiisha mwandaa mwanamke wakiwa kwenye harakati za kuanza yale mambo ya kikubwa akipaka kwenye uume wake ama kwenye kichwa cha C.ndom na kuanza kulimana basi mdada atapata multiple orgasm maana atakuwa anawashwa kwa utamu. Hii nimeambiwa na wahenga.....do not try at home. Sasa sijui kama kuna faida nyingine.
Uzee una tabu.....huna mshawasha hadi unatafuta kwa kitunguu saumu? na ile kufungwa jana,mshawasha kwishney hadi baaada ya muda......
watakujibu tu,JF kuna wajuao mambo mengi,nimepita tu nikusalimu baada ya kupotea jana......msalimu mama Mchungaji.......:laugh::laugh::laugh:
Mechi za ugenini zinafaa sana kufanyia mazoezi kijana!
Baba huvai viatu wewe? Kama uwanja una miiba weka viatu kama vya wacheza Rugby