Bro Maliza mapema tu usiwaze. Ukikaa sana utaharibu

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu

Bango linajieleza.

Kama unapata shaka kuwa unamaliza mapema mno kwenye show, relax.

Ni vigumu kujua hawa watu wanataka nini. Kumbuka, there's always a second chance. So usiteseke bure.

Chukulia hilo jambo kwa mtazamo chanya kwamba mwanamke wako is sexy enough kufanya ukojoe mapema. Then ujipange next round.

And ladies, inabidi mfurahi kuwa mna urembo sana ndo maana waume zenu wanafika kilima mapema.

Kumbuka: No matter how good the dancer is, if you stay for too long, you'll lose it

Mapenzi ni utamu, na utamu ni kufika mshindo bila kujizuia na mawazo.

Nilikuwepo,

Wenu
Mjina Mrefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom