Kitunguu Swaumu!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nimeambiwa kitunguu swaumu huongeza mshawasha kwenye suala zima la mapenzi! Kama kuna mzoefu anaweza nihabarisha.

garlic+clove_2041_19288270_0_0_15539_300.jpg

The might garlic.

Sharing is Sexy!
 
Swali lako bado ni tata,
Hapo mtumiaji wa Kitunguu ni mwanamke ama mwanaume au wote?
Mshawasha unaozungumzia ni upi? KUkawia? ama Kukakamaa kwa muda mrefu? ama?
 
Uzee una tabu.....huna mshawasha hadi unatafuta kwa kitunguu saumu? na ile kufungwa jana,mshawasha kwishney hadi baaada ya muda......
watakujibu tu,JF kuna wajuao mambo mengi,nimepita tu nikusalimu baada ya kupotea jana......msalimu mama Mchungaji.......:laugh::laugh::laugh:
 
Kwa wanaume bwana! Ninachojua mwanaume akiisha mwandaa mwanamke wakiwa kwenye harakati za kuanza yale mambo ya kikubwa akipaka kwenye uume wake ama kwenye kichwa cha C.ndom na kuanza kulimana basi mdada atapata multiple orgasm maana atakuwa anawashwa kwa utamu. Hii nimeambiwa na wahenga.....do not try at home. Sasa sijui kama kuna faida nyingine.
 
Yeah,ni mbadala wa viagra ila tatizo lake ni harufu,if you can stand it then tumia tu!
 
Wakati mimi huwa natafuna vipande vya kitunguu swaumu kama dawa, kumbe wengine wanafanyia MISHAWASHA YA SARAKASI???
Sasa inatumikaje??
Unapakaa sehemu baada ya kuisaga au?? :twitch:
 
Kwa wanaume bwana! Ninachojua mwanaume akiisha mwandaa mwanamke wakiwa kwenye harakati za kuanza yale mambo ya kikubwa akipaka kwenye uume wake ama kwenye kichwa cha C.ndom na kuanza kulimana basi mdada atapata multiple orgasm maana atakuwa anawashwa kwa utamu. Hii nimeambiwa na wahenga.....do not try at home. Sasa sijui kama kuna faida nyingine.

why???
 
Hahahahah huenda inakuongezea umaarufu na heshima kwa mwenza wako! Tafuna kilo nzima kwa siku.
 
Hahahahah huenda inakuaongezea umaarufu na heshima kwa mwenza wako! Tafuna kilo nzima kwa siku.

Yaani kila siku iwe siku ya VITUNGUU TU??!!
Aaah . . . bahati mbaya sijaoa, nadhani angekimbilia kwao :roll:
 
Mechi za ugenini zinafaa sana kufanyia mazoezi kijana!
 
Kwa wanaume bwana! Ninachojua mwanaume akiisha mwandaa mwanamke wakiwa kwenye harakati za kuanza yale mambo ya kikubwa akipaka kwenye uume wake ama kwenye kichwa cha C.ndom na kuanza kulimana basi mdada atapata multiple orgasm maana atakuwa anawashwa kwa utamu. Hii nimeambiwa na wahenga.....do not try at home. Sasa sijui kama kuna faida nyingine.
Hii itabidi niiongezee kwenye ile manual yangu.....
 
Dah nimekosea njia!!!Baba mchungaji nakuona!!!Haya endeleeni wababa.........
 
Ukienda sokoni nunua 5 Kgs za vitunguu swaumu! Hahahahahahahaahahhah heshima itarudi bila shaka
 
Uzee una tabu.....huna mshawasha hadi unatafuta kwa kitunguu saumu? na ile kufungwa jana,mshawasha kwishney hadi baaada ya muda......
watakujibu tu,JF kuna wajuao mambo mengi,nimepita tu nikusalimu baada ya kupotea jana......msalimu mama Mchungaji.......:laugh::laugh::laugh:

SASA JAMANI SI HAKI SAWA KWA WOTE?.....:laugh:
 
Timu zenyewe za ugenini kiwango duni (afya) halafu beki zao hazikabi kabisa (gono) . . . :roll:

Baba huvai viatu wewe? Kama uwanja una miiba weka viatu kama vya wacheza Rugby
 
Babuuuuu . . . . Viatu sio tatizo,
Mimi sio Taifa Stars kwamba nakubali kucheza game za kirafiki hata na Palestina
Sasa hapo nakuza kiwango au nashusha??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom