Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 18, 2014 Thread starter #2 Hivi kwanini kitambi kikiongezeka makalio yananywea?
S Sallass Member Joined Dec 28, 2013 Posts 73 Reaction score 15 Oct 18, 2014 #3 sio makalio tu hunywea hadi mgegedo pia hunywea
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Oct 18, 2014 #4 Napita lakini nyuma mbele na mbele ni nyuma
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 18, 2014 Thread starter #5 makubazi said: Napita lakini nyuma mbele na mbele ni nyuma Click to expand... Hahahahaaaa makubazi NAPITA na napita ni maneno mawili tofauti kama ilivyo makubazi na makubazi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
makubazi said: Napita lakini nyuma mbele na mbele ni nyuma Click to expand... Hahahahaaaa makubazi NAPITA na napita ni maneno mawili tofauti kama ilivyo makubazi na makubazi
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Oct 18, 2014 #6 mkuu mbona umempiga picha bosi wangu
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Oct 19, 2014 #7 mshana jr said: View attachment 194491 Click to expand... Kwa huyu baba na shughuli anayoifanya hapa kitambi ni tija sana kwake kwa sababu kinasaidia kama shock absorber atakapokutana na maji paa!
mshana jr said: View attachment 194491 Click to expand... Kwa huyu baba na shughuli anayoifanya hapa kitambi ni tija sana kwake kwa sababu kinasaidia kama shock absorber atakapokutana na maji paa!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 19, 2014 Thread starter #8 SHIEKA said: Kwa huyu baba na shughuli anayoifanya hapa kitambi ni tija sana kwake kwa sababu kinasaidia kama shock absorber atakapokutana na maji paa! Click to expand... Hahahahaaaa halafu kayapaniaje?
SHIEKA said: Kwa huyu baba na shughuli anayoifanya hapa kitambi ni tija sana kwake kwa sababu kinasaidia kama shock absorber atakapokutana na maji paa! Click to expand... Hahahahaaaa halafu kayapaniaje?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 19, 2014 Thread starter #9 MO11 said: mkuu mbona umempiga picha bosi wangu Click to expand... Kamera ilijipindisha nilimlenga Huyo jirani yake hapo
MO11 said: mkuu mbona umempiga picha bosi wangu Click to expand... Kamera ilijipindisha nilimlenga Huyo jirani yake hapo