eeehhh MUNGU nusuru
mimi na kizazi changu
Muda mwingine unaona bora usingezaa kuliko kuzaa mtoto wa aina hiyo
Wakristo wengi walichinjwa kama ilivyofa nyika libia,iraki,irani nkAma kweli ukristo umepukutika kabisa ulaya na marekani, tumaini pekee limebaki afrika kusini mwa jangwa la sahara peke yake
Ishmael amefika hapa kutoa baraka zake?
Haha..kwanini nini wazungu hawajakichukua na kukiboresha au kukipeleka mbele?Hata uislam uliiimarika ktk Spain na Turkey ila haukuwa dini yenye maada kimaandishi.But that doesnt mean kwamba ni wazungu zote wanaridhika na hiyo hali,wapo wengi tuu wanapigana vita mahakamani ktk nchi zao,wapo wengine wanapigana kuhamia Africa wakiamini ndipo patakuwa na maadili na km patawekezwa,ila na hao wa ushoga nao wanakimbilia africa km shamba jipya.Ila mwishowe waliouchukua ushoga wataperish na wengine watakuja shughudia kwamba waliingia ktk issue bila jijua na sasa hawajapata hiyo amani ya roho wala kuona sababu hiyo.ila wazungu wameuboresha ushoga, mpaka k@nis@ni, waumini tukatae haya mambo
kumbe kahtaan huwa unafuatulia ze udakuz? mona mbunge lishajibu Bungeni kuwa ile ni kashfa na udhalilishajiView attachment 252973
View attachment 252971
Chunga Mkeo , wajaluo wanakuja hao!
Teh teh teh teh
Cc mkishumundu 2013
kumbe kahtaan huwa unafuatulia ze udakuz? mona mbunge lishajibu Bungeni kuwa ile ni kashfa na udhalilishaji
Leo mchaga unachukua stori za wabunge na kuziacha za kweli?
Bora kufilisika pesa kuliko busara.
Ama kweli ukristo umepukutika kabisa ulaya na marekani, tumaini pekee limebaki afrika kusini mwa jangwa la sahara peke yake
Huyu bado yupo madarakani au?Waziri Mkuu wa Luxembourg Xavier Bettel (Mwanaume) amefunga ndoa na 'mpenzi' wake wa siku nyingi Gaunthier Desteney (Mwanaume).
Muungano huu wa jinsia moja ni wa kwanza kufanywa na kiongozi wa jumuiya ya nchi za ulaya.