Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

Unajua hata kwenye post za hr watu wa Sociology na Public Administration walipasua paper na wakawatupa kule watu waliosoma hr per-se. Ila jamaa wamevumilia na wamekubaliana na hali ilivyo however kwenye tangazo la kazi wenye hizo qualification (sociology&PA) walitajwa kama wana-qualify, sasa cjajua kwa case yako mkuu kama ilitajwa env science waombe au it was only env eng?. Ila kama ilitajwa basi malalamiko yako hayana mashiko subiri tu awamu nyingine utatoka tu.
 
wAKIANGUSH maJEngo NDo ukweli UTAJULIKANA! elimu KUbwA UteNdAjI 0@ BOngO
 
hakuna wivu! Shida wanasababisha baadhi ya environmental science tusiombe kazi kwa kuwa imeandikwa environmental engineer! Kuanzia sasa hata mimi nikiona kazi imeandikwa environmental engineer naomba.

hahahaha umenichekesha we mwanaume bana punguza wivu hawajapendelewa wamepata kaz kwa haki wenzako wapongeze
 
ni kweli amepata lakini hoja hapa ni je alistahili kupata ajira kwa kitengo ambacho cyo professional yake? kupata kwake haina maana kuondoa hoja makosa waliyofanya waajili wa nafasi hiyo.
 
Huo ni wivu tu, kidume una wivu wa kike! , hebu badilika, maisha hayaendi hivyo......Nyambafuuuuu
 
engineer unakuwa na majungu, majungu waachie watu wa sayansi ya politiki
 
dah it is very hot, but mi naona hakuna shida hapo, jamaa kama amepata fine, coz hata hao walio recruit walitazama hizo sifa na wakahakiki jamaa anafaa so, just mi nampongeza kwa kupata kazi
 
Back
Top Bottom