Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

omari190

Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
7
Reaction score
1
AGZsIgRJkJILAAAAAElFTkSuQmCC

Tatizo letu ni kwanini mtu kasoma environmental science apate ajira kama environmental engineer, Robert alexander na mgeta makilas wamesoma environmental science SUA na ARU. Je ni kweli environmental science anaweza kufanya kazi za environmental engineer. Na tangu lini Environmental Science akasajiliwa na bodi ya Maengineer(ERB), na tangu lini sciencist akaruhusiwa kufanya kazi za ujenzi.Kwanini kama wanataka environmental science wasitangaze nafasi kama environmental officer. Nadhani tunakoenda siko kama mtu kasoma environmental science anaajiriwa kama environmental engineer. Nadhani wadau mnaweza kuangalia haya majina kwenye mtandao wamesoma wapi na course gani. Huu usaili umefanywa na utumishi kwa niaba ya Tanzania Building Agency.
 
Umeanza... wenzako wameshapata hivo we jipange kwani wewe ndo mwajiri?
 
wakati wa tangazo la kazi, walisema criteria uwe na bachelor ya environmental science au environmental engineer. watu wakaamua kuapply.

am sure wewe ni environmental science uliapply sasa umekosa.
 
Ahajjajaajaj unaambiwa maneno ya mkosaji.. Science ndo engeneering yenyewe
 
Robert Alexander namfahamu huyu jamaa kumbe kapata kazi bana, Hongera zake....!!
 
na mie nina mdogo wangu alifanya intavyuu nipeni link niangalie
 
Mie niliacha kuomba baada ya kuandika kwenye tangazo kama environmental engineer! Nikaogopa, kuomba, kumbe wanahitaji sciencist.ok
 
AGZsIgRJkJILAAAAAElFTkSuQmCC

Tatizo letu ni kwanini mtu kasoma environmental science apate ajira kama environmental engineer, Robert alexander na mgeta makilas wamesoma environmental science SUA na ARU. Je ni kweli environmental science anaweza kufanya kazi za environmental engineer. Na tangu lini Environmental Science akasajiliwa na bodi ya Maengineer(ERB), na tangu lini sciencist akaruhusiwa kufanya kazi za ujenzi.Kwanini kama wanataka environmental science wasitangaze nafasi kama environmental officer. Nadhani tunakoenda siko kama mtu kasoma environmental science anaajiriwa kama environmental engineer. Nadhani wadau mnaweza kuangalia haya majina kwenye mtandao wamesoma wapi na course gani. Huu usaili umefanywa na utumishi kwa niaba ya Tanzania Building Agency.
Ushauri wa bure kwako,tafadhali wasiliana na Tanzania Building Agency(namba zao zipo kwenye website yao).
 
Mwenzako akipata kaza buti na wewe upate na sio kuanza kuleteana majungu
 
Kwani issue hapa ni nini? hata kama alisoma Env. science na kuwa utumishi walitaka Env. Engineer, si walipewa written akapasua? na akaitwa Oral akajibu vizuri ndo maana wakamchukua?

Environmental engineering is the integration of science and engineering principles to improve the natural environment, to provide healthy water, air, and land for human habitation and for other organisms, and to clean up pollution sites.[SUP][citation needed][/SUP] Environmental engineering can also be described as a branch of applied science and technology that address the issue of energy preservation, production asset and control of waste from human and animal activities.

hakuna tofauti kati ya E. SC and E. Eng.
 
Nanusa harafu ya wivu tu hapa

hakuna wivu! Shida wanasababisha baadhi ya environmental science tusiombe kazi kwa kuwa imeandikwa environmental engineer! Kuanzia sasa hata mimi nikiona kazi imeandikwa environmental engineer naomba.
 
Kwani issue hapa ni nini? hata kama alisoma Env. science na kuwa utumishi walitaka Env. Engineer, si walipewa written akapasua? na akaitwa Oral akajibu vizuri ndo maana wakamchukua?

Environmental engineering is the integration of science and engineering principles to improve the natural environment, to provide healthy water, air, and land for human habitation and for other organisms, and to clean up pollution sites.[SUP][citation needed][/SUP] Environmental engineering can also be described as a branch of applied science and technology that address the issue of energy preservation, production asset and control of waste from human and animal activities.

hakuna tofauti kati ya E. SC and E. Eng.
Tofauti hipo, ndio maana ikaitwa E.SC and E.eng
 
Back
Top Bottom