Mtume Muhammad anasema kama kuna chombo chenye kasi sana ambacho kitafika kwenye jua basi chombo hicho chenye kasi kubwa kitatumia 500yrs to reach there,now how within 4hrs only???
This must be a propaganda!
Eti nini?! Mwambieni huyo Kim Un aweke picha hapa ndipo tutaamini hizi propaganda zake!
Mkuu Lary King alikuwa anamwambia Mugabe kuwa wazungu wana upeo mkubwa ndo maana wameweza hata kufika kwenye mwezi na kurudi, ndipo mzee Mugabe akamjibu kuwa wao watakuwa watu wa kwanza kupeleka mtu kwenye jua.sasa naona akina Kim Jong Komba wamemtangulia Mugabe.
Haitakaa itokee binadamu aweze kufika kwenye Jua!!! Never!!! Hakuna aina yoyote ya elements zilizopo duniani inayoweza kuhimili joto la Jua (6000[SUP]0[/SUP]C). Hata hakuna any Alloy ambayo inaweza kuhimili joto hilo! This is a mere Conspiracy Theory. Hata ile ziara ya mwezini ya Neil Armstrong watu wanaitia question mark. It could also be a Conspiracy Theory. Let's be frank.
kama surface temperature ya Sun ni 5505°C, hapo bado hujaongelea ya core,i doubt if its possible!
Hiyo theory yako kutoka kwa mtume iko wrong na imeshakua proved wrong mara nyingi sana... Miaka 500 kutoka hapa hadi kwenye jua? Hapa hadi kwenye jua ni approx 150M compare that with avarage distance ya kutoka earth hadi Mars ambayo ni 100M Kilometres, Rovers kutoa earth ambazo zilitumwa mars mara nyingi tu zimechukua miezi sita tu.. Sasa kama 100M ni miezi sita, 150M ndio itachukua miaka 500?? Ukizingatia hapa katikati kuna sayari mbili ambazo tunaweza tumia gravity yake kusaidia push ili kwenda kasi zaidi.. Tatizo la kwenda kwenye jua ni moja tu, hakuna kitu kitakachokaribia sababu ya joto, chochote kitakachokaribia kitasambaratishwa ndani ya sekunde ila kusema miaka 500 sijui hiyo umesoma kwa mtume yupi, na alikudanganya... vyombo vishatumwa hadi Saturn na Jupiter na vikafika vikapiga picha vikatuma na ni mara mbili na zaidi ya distance kutoka juani we unasema miaka 500...Mtume Muhammad anasema kama kuna chombo chenye kasi sana ambacho kitafika kwenye jua basi chombo hicho chenye kasi kubwa kitatumia 500yrs to reach there,now how within 4hrs only???
This must be a propaganda!
sun litakuwa jina la mtu....
Acheni utumwa wa fikra akifanya marekani mnaamin akifanya Korea et propaganda..
Hiyo theory yako kutoka kwa mtume iko wrong na imeshakua proved wrong mara nyingi sana... Miaka 500 kutoka hapa hadi kwenye jua? Hapa hadi kwenye jua ni approx 150M compare that with avarage distance ya kutoka earth hadi Mars ambayo ni 100M Kilometres, Rovers kutoa earth ambazo zilitumwa mars mara nyingi tu zimechukua miezi sita tu.. Sasa kama 100M ni miezi sita, 150M ndio itachukua miaka 500?? Ukizingatia hapa katikati kuna sayari mbili ambazo tunaweza tumia gravity yake kusaidia push ili kwenda kasi zaidi.. Tatizo la kwenda kwenye jua ni moja tu, hakuna kitu kitakachokaribia sababu ya joto, chochote kitakachokaribia kitasambaratishwa ndani ya sekunde ila kusema miaka 500 sijui hiyo umesoma kwa mtume yupi, na alikudanganya... vyombo vishatumwa hadi Saturn na Jupiter na vikafika vikapiga picha vikatuma na ni mara mbili na zaidi ya distance kutoka juani we unasema miaka 500...
Sijamkashifu mtu, hakuna mtume aliyesema hiyo kitu huyu jamaa anajua alipotoa hiyo theory..Teh teh teh...huogopi kumkashifu mtume wewe??