KITUKO!!: North Korea confirms it has landed a man on the Sun Read

KITUKO!!: North Korea confirms it has landed a man on the Sun Read

Dah! Bonge la conspiranced modern story! REALITY IS ZERO!
 
Imenilazimu kuchange channel niangalie BBC World News kwa hiyo post hapo juu kama ni kweli,ila sioni chochote.Vitu vingine sio vya kuchezea wala kujaribu.
 
Hata kama chombo kikitembea km 2000 kwa saa, which I believe hakuna chombo chenye mwendo kasi zaidi ya huo bado masa manne ni sawa na kutembea km 8000. Sasa umbali toka hapa duniani mpaka kwenye jua ni km 8000?

Pia napata shida kusikia mtu anaweza kufika juani kulingana na kiwango cha heat energy kinachotolewa na jua. Tuache hao wataalam wataleta habari kamili, pengine watakuja kusema ameenda kwenye jua lingine si hili tunaloona kutokea hapa duniani
 
View attachment 134388 MORE PHOTOS

This just in: North Korea has landed a man on the Sun. 17-year-old Hung Il Gong started his journey at 3am this morning, travelling alone, to reach our nearest star, a journey that took him just 4 hours.

A North Korean central news anchorman said during a live broadcast: "We are very delighted to announce a successful mission to put a man on the sun. North Korea has beaten every other country in the world to the sun. Hung Il Gong is a hero and deserves a hero's welcome when he returns home later this evening".
Hiyo habari haina tofauti na story utakazozikuta kijiweni, wakati uatakapowakuta vijana weshapiga msuba wao.

Utasikia wanadanganyana kuwa mbona kwenda mamtoni ni kitu simple tu, kama kumsukuma mlevi!

Unajichukulia tu karambo kako na unaanza kucross border moja hadi nyingine, kwa kutembea kwa miguu, after very short time unajikuta tayari ushakanyaga ardhi ya bara Ulaya!!

Unless hawa wakorea watuambie wanalo Jua lao lingine waliloenda, lakini kama Jua lenyewe ndiyo hili tunalolijua sote, ambalo lina umbali wa mamilioni ya maili hadi hapa Duniani, lakini joto lililopo hapa Duniani, wakati mwingine huwa tunakoma ubishi, ambapo huwa zaidi ya 40 degree centigrade, na hutokezea binadamu wengine kupoteza maisha yao hapa hapa duniani kwa joto kali, sembuse kuliendea huko huko lililopo, ambako inasemekana temperature yake huko ni more than 5000 centigarade!!

Inaelekea hawa wakomunisti wa Korea, kwa kuwa, hawaamini uwepo wa Mungu, nadhani ni kama wameamua kufanya jokes na Mungu, ili waone ata-react vipi!!
 
aha aha aha aha aha! Next time IRAN nao wanatarajia kurusha Satellite yao Peponi na nyingine jehanamu ili kufanya utafiti kuona raha za peponi na shida za jehanamu! Hawa jamaa wa Nortk korea na Iran wanaakili sana na mie binafsi hua nawakubali
 
Naskia hata Mugabe alimwambia Larry King "we'll be the first people to land on the sun" Alipoambiwa it's impossible because it's too hot et alijibu "we shall go at night fool", Inawezekana nae alienda usiku jua likiwa "LIMEZAMA" teh teh teh.

Baba V, acha vituko wewe.
You need to cite & reference your post.
 
.....wameingilia kwa juu wakaacha likimulika au kuangaza universe.....:bange:
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:biggrin1:
 
Baba V, acha vituko wewe.
You need to cite & reference your post.

Mkuu Lary King alikuwa anamwambia Mugabe kuwa wazungu wana upeo mkubwa ndo maana wameweza hata kufika kwenye mwezi na kurudi, ndipo mzee Mugabe akamjibu kuwa wao watakuwa watu wa kwanza kupeleka mtu kwenye jua.sasa naona akina Kim Jong Komba wamemtangulia Mugabe.
 
aha aha aha aha aha! Next time IRAN nao wanatarajia kurusha Satellite yao Peponi na nyingine jehanamu ili kufanya utafiti kuona raha za peponi na shida za jehanamu! Hawa jamaa wa Nortk korea na Iran wanaakili sana na mie binafsi hua nawakubali
Duuuu!!
 
Ukiamini ni kwa sababu elimu ya unajimu, fizikia, kemia, biolojia na jiografia imekupita kushoto.
 
Huenda hawa vigogo wa duniani wanatishana kwanza kila mmoja kupima uwezo wa mwenzake kwanza kabla haijawa kweli.
 
Voyager 1 at a cruising velocity of 38000 mph itatumia siku 101 kufika kunako jua!
And for sure, it won't get there b'se it would be disintegrated by the time it get anywhere there!
 
Back
Top Bottom