Sijamkashifu mtu, hakuna mtume aliyesema hiyo kitu huyu jamaa anajua alipotoa hiyo theory..
Ulisikia wapi mtume anasema maneno hayo... afu hamna uongo wowote nlioongea kwenye statement yangu. Kashfa iko wapi, kashfa inakuja ka ktu kadanganya,
Teh teh teh ...jifunze kusoma na kuelewa ustaadhi.