KITUKO!!: North Korea confirms it has landed a man on the Sun Read

KITUKO!!: North Korea confirms it has landed a man on the Sun Read

kuweni na subila wakuu..mshaambiwa jamaa anarudi baada ya masaa18 so mpaka hapo ndo tutajua ni kweli au la..Jua linafikika tu...joto kitugani bwana
 
North koroea sio wajinga kama tunavyodhani

Nchi ambayo ina uwezo wa kutengeneza nuclear devices na ICBMs sio vichaa

Sisi kusambaza maji vijijni tumeshindwa

Hiyo ni propaganda kwa ajili ya wakulima wanyonge wa nchi hiyo
 
Acheni utumwa wa fikra akifanya marekani mnaamin akifanya Korea et propaganda..
 
North koroea sio wajinga kama tunavyodhani

Nchi ambayo ina uwezo wa kutengeneza nuclear devices na ICBMs sio vichaa

Sisi kusambaza maji vijijni tumeshindwa

Hiyo ni propaganda kwa ajili ya wakulima wanyonge wa nchi hiyo

MmaRekani gani alieenda kwenye JUA?
 
THE STATE News Agency of North Korea has
confirmed today that the country has
become the first in the world to ever land a
man on the sun.
It reported that astronaut Hung Il Gong left
for the sun on a specially designed rocket
ship at approximately 3am this morning.
Hung, who traveled alone, reached his
destination some four hours later, landing his
craft on the far side of the lonely star.
“We are very delighted to announce a
successful mission to put a man on the
sun.” a North Korean central news anchor
man said on a live broadcast earlier. “North
Korea has beaten every other country in the
world to the sun. Hung Il Gong is a hero and
deserves a hero’s welcome when he returns
home later this evening.”
The specially trained astronaut is expected
to return back to earth at 9pm tonight,
where he will meet his uncle and supreme
leader Kim Jong-un.
It is understood that the 17-year-old ‘space
explorer’ traveled at night to avoid being
engulfed by the suns rays, and that this
genius approach has brought the soviet
state to the top of the global space
rankings.
While on the sun, Mr. Hung collected sun
spot samples to bring back to his supreme
leader as a present.
The 18 hour mission is already being called
the ‘greatest human achievement of our
time’ by the North Korean central news
agency.
 
Mmmh. Huu ukweli jamani ama ndio tetesi kama ulivyosema.
 
Wametangaza kwenye state TV ya north Korea. Sasa tunasubiria kuona BBC au CNN
 
Hawa north korea nadhani huwa wanakula mneli, huo mzuka sio bure.
 
View attachment 134388 MORE PHOTOS

This just in: North Korea has landed a man on the Sun. 17-year-old Hung Il Gong started his journey at 3am this morning, travelling alone, to reach our nearest star, a journey that took him just 4 hours.

A North Korean central news anchorman said during a live broadcast: "We are very delighted to announce a successful mission to put a man on the sun. North Korea has beaten every other country in the world to the sun. Hung Il Gong is a hero and deserves a hero's welcome when he returns home later this evening".

Inaelekea huyu Chubby boy president wao anatumia Sigara ----- aka Bangi! Juani wanapajua au wanapafikiria tuu?
 
Hii habari ina walakini, yaani usafiri usiku ili usikutane na mionzi kwani jua huzimika usiku? Alafu safari ya kwenda ni masaa 4 tu? kwa akili ya Geografia yangu ya form 4 inakataa kabisaaa!!
 
  • Thanks
Reactions: 911
Hii habari ina walakini, yaani usafiri usiku ili usikutane na mionzi kwani jua huzimika usiku? Alafu safari ya kwenda ni masaa 4 tu? kwa akili ya Geografia yangu ya form 4 inakataa kabisaaa!!

Kwenda kwa masaa 4 si inategemea na mwendokasi wa chombo chenyewe?
 
Daah.., hivi inawezekana eehh..?!
nahisi mtoa mada kapata taarifa kwenye kipindi cha futuhi huko korea, cause hakuna chombo kinachoweza kustahimili joto la jua, vitayeyuka vyote hata kabla havijafika pale. pili kwenye jua hakuna ardhi ya kutua bali ni mkusanyiko wa hydrogen gas inayowaka katika vurugu ya hali ya juu.na kuwaka huku ni kiashiria kuwa gas itaisha na jua litazimika miaka ya baadae, hivyo ipo siku jua litatoweka ulimwenguni/universe. kutoweka kwa jua ni kiashiria kuwa uhai utakwisha,kwani hewa ya O2 haitaweza kuzalishwa( photosythesis) kwakuwa hakuna kuwa na mwanga, pengine baridi itaongezeka na ku-freeze kila kitu na mzunguko wa dunia kwenye orbit yake utapotea, na pia nguvu ya uvutano itakwisha.
 
Sina mbavu lo!
Naskia hata Mugabe alimwambia Larry King "we'll be the first people to land on the sun" Alipoambiwa it's impossible because it's too hot et alijibu "we shall go at night fool", Inawezekana nae alienda usiku jua likiwa "LIMEZAMA" teh teh teh.[/QUOT
 
Hii habari ina walakini, yaani usafiri usiku ili usikutane na mionzi kwani jua huzimika usiku? Alafu safari ya kwenda ni masaa 4 tu? kwa akili ya Geografia yangu ya form 4 inakataa kabisaaa!!
Inawezekana hiko chombo cha wakorea kikawa ungo!

Kwa sababu hiyo story imekaa kiudaku udaku kama yale magazeti ya yule kada wa magamba, hivi inawezekanaje safari ya kutoka duniani kwenda kwenye Jua ambako umbali wake unakadiriwa kuwa maili zaidi ya 900 milioni, safari hiyo ichukue masaa 4 tu?!

Vile tunaambiwa joto linalozunguka Jua ni kali sana, sasa inawezekanaje hiko chombo kitue kwenye sayari hiyo na mtu wake halafu warejee salama?!

Lakini kwa kuwa Wakorea hawaamini kuwepo kwa Mungu, hicho chombo kilichotaka kwenda kupeleleza utukufu na ukuu wa Mungu, kama kweli kilifanya jaribio hilo, naamini Mungu angetoa pigo kwa kukiteketeza hicho chombo na huyo binadamu wake kuwa majivu.
 
Back
Top Bottom