Kituko JNIA mgahawani: Immigration hii si sawa!

Kituko JNIA mgahawani: Immigration hii si sawa!

Nasafiri kwenda Mwanza flight FN 141 kuelekea Mwanza.
Kabla ya kupanda ndege naamua kupata kipasha moto, kahawa na keki, kwa kiswahili safi kabisa.

Namuuliza mhudumu kaunta aliyevaa shati bkuu, tai na kapendeza, muasia.

Cha kushangaza ananiuliza "what sir?"
Nashangaa, narudia tena kwa kiswahili.
Ajabu jamaa anasena"I dont understand sir"
Namuuliza "how did you get here, and where are you from"
Ananijibu "India sir"
Immigration, mtu asiyejua hata lugha ya kiswahili anafanya nini hapo?
Na ana kibali cha kazi au?
Mi sielewi hivi wewe ukienda airport huwa unaenda kusubiri ndege au kula na kuongea na wanawake wa kihindi? MTU unaacha kula mihogo ya kuchemsha kwenu ambayo ukila unakuwa umesaidia mkulima mswahili mwenzio unaenda dandia vyakula vya kihindi airport wewe vipi? Ungekula kwenu yasingekukuta
 
Vitumbua, maji, havikatazwi utaambiwa uvile alafu unaendelea na ukaguzi.
 
Wapi kwingine uliona migahawa ya airport wana bei mbili za raia na wageni ? Iwe kwa dola yen pound euro au shillingi?
Hahaha ,nilitaka kushangaa,jamaa amenipa kali kweli,hahaha
Anafanya mgahawa kuwa Prices status kama vile vyumba vya Mahoteli.
Wakati bei kwenye Migahawa hata Nje ya nchi ukienda bei ni moja ila Vyumba vya kulala kwenye Hotels ndio zimewekwa chini kwa Residents
 
Mimi sijaajiriwa. Kumbuka hilo.

Nenda kamuulize mwenye mgahawa huo sababu ya kumuweka mgeni, si hapo tu kuna sehemu nyingi sana kuna wageni wanaaminiwa sana kuliko Watanzania.

Huo ni ukweli tusioupenda.
Ni kweli,huku Zanzibar mahoteli mengi yalikuwa yameajiri Residents yaani watanzania kwenye posts za Accounts,lakini hotels nyingi zimewatimua kwa wizi na kutokuwa waaminifu kwa kiwango cha kutisha.

Sasa hivi hotels kibao Accountats wao ni wahindi,na wanafanya vizuri sana,ila wakikudai utawachukia,maana mpaka pesa utalipa,wao wanafuata taratibu na sio maisha ya ujanja ujanja.Watu wanasema kazi hakuna wakipata akili yoote kupiga dili

Acha wahindi na Wakenya waje,naamini tutajifunza kitu baadhi yetu katika uaminifu na umakini kazini,vyeti vyetu vimekuwa kama havina maana yoyote
 
Sisi tunazungumzia chakula. Kwani hao wachumba ni chakula?
1478112519810.jpg
 
We nae kupenda kula kula saa lenyewe moja tu angani si ukale Kwa mama ntilie ukishika,
 
Wengi wetu uaminifu unatupitia kushoto hatupend kujituma tazama kwenye shughuli zetu soga nyingi tu kuliko Kazi tukisubiria uhakika wa mwezi
 
Mimi sijaajiriwa. Kumbuka hilo.

Nenda kamuulize mwenye mgahawa huo sababu ya kumuweka mgeni, si hapo tu kuna sehemu nyingi sana kuna wageni wanaaminiwa sana kuliko Watanzania.

Huo ni ukweli tusioupenda.
Hapo nyuma nafuatilia ,ulisema Mitanzania ni mijizi without qualification.
Nawe ni litanzania lijizi na usikwepe.

Hata kama hujaajiriwa si ajabu kuna huduma hulipii na kodi unakwepa.
 
Hapo nyuma nafuatilia ,ulisema Mitanzania ni mijizi without qualification.
Nawe ni litanzania lijizi na usikwepe.

Hata kama hujaajiriwa si ajabu kuna huduma hulipii na kodi unakwepa.

Mie Mtanganyika niliyeamua kuwa Mkanada, utanzania ulinishinda, Tanzania nnaishi kwa Residence Permit class A. Kodi zote nnalipa na records zote nnaweka to a cent.
 
Mie Mtanganyika niliyeamua kuwa Mkanada, utanzania ulinishinda, Tanzania nnaishi kwa Residence Permit class A. Kodi zote nnalipa na records zote nnaweka to a cent.
Kawadanganye wasiokufahamu.
Unaukana Utanzania na kujitia Mkanada, halafu mwizi uaukana wizi wako na unarudi kukaa na wezi.
Logic iko wapi na unamdanganya nani!
 
Du!
Kweli uzalendo ni shughuli nzito!
Hongera mkanada!

Ukweli mchungu, ni nani asiyejuwa Watanzania walio wengi wezi wakubwa makazini? Na mpaka uone mtu anaingia gharama ya kuleta wafanyakazi nje, ujuwe kapiga hesabu kaona ni heri ya hayo kuliko hasara ya kuibiwa na uzembe wa wafanyakazi wa Kitanzania.
 
We ndo JUHA kwel. Vibali vya kazi vinatolewa na LABOUR sio uhamiaji
 
Mkuu kama una uwezo mdogo wa kufikiri usijiumbue!
Nijibu swali moja tu ili ugutushe ubongo wako.
Mgeni anapoingia nchini kuanzia airport su bandarini, hujui kuwa afisa wa kwanza kabisa kumkagua ni wa Immigration?
Huyo afisa atamuuliza sababu za kuja nchini na muda atakaoishi, na mwenyeji wake.
Kama ni mtalii kuna vibali vyake, na kama ni kufanya kazi immigration watatoa vibali kwa mujibu wa sheria za nchi.

Kwa hiyo hebu gutuka bure tu na ku imagine mtu asiyejua hata kusalimia kiswahili na anafanya kazi mgahawani, a public area.

Hii inaonyesha tu jinsi watu kama wewe mnavyoweza ku support uozo wowote unaoingia nchini, mradi business as usual.
Hauna hoja nakwambia. Uhamiaji siku hz wanafanya kazi za Labour? Fanya utafiti ndo upost hoja zako
 
Nasafiri kwenda Mwanza flight FN 141 kuelekea Mwanza.
Kabla ya kupanda ndege naamua kupata kipasha moto, kahawa na keki, kwa kiswahili safi kabisa.

Namuuliza mhudumu kaunta aliyevaa shati bkuu, tai na kapendeza, muasia.

Cha kushangaza ananiuliza "what sir?"
Nashangaa, narudia tena kwa kiswahili.
Ajabu jamaa anasena"I dont understand sir"
Namuuliza "how did you get here, and where are you from"
Ananijibu "India sir"
Immigration, mtu asiyejua hata lugha ya kiswahili anafanya nini hapo?
Na ana kibali cha kazi au?
Nasafiri kwenda mwanza flight FN 141 kuelekea Mwanza. Masahihisho.....
 
Back
Top Bottom