Mi nakumbuka nilikua napenda sana ndiz flan hv zinakuwaga kama ndiz mbivu hiv lkn zenyewe ni Nene hiv za kukaanga kwny mafuta(ndiz mzuzu)!basi maza akazikaanga akiwa amezikata vipande vidogo vidogo vya round!basi nikala afu nikaenda kulala lkn nilikua cjaridhika so nikazuga nmelala ile maza ameenda kuoga nikawa naenda sebulen nadokoa kwny sahan ya dingi maana yy alikua bdo hajarudi,basi nikapga round za kutosha ubaya taa ya sebulen ilikua imezimwa so sikujua zmebak kiasi gan,la haula dingi alivorud maza wkt anamkaribisha msoc kufunua ile sahan iliyofunikia msoc,akakuta vipande vi2 vya ndiz ndo vmebak,maza akaja fasta kunichek chumban mi huk nazuga nmelala akaniita saana nazuga simsikii nmelala,acha anikague mikono hahah ilikua imejaa mafuta ya ndiz mwanzo mwisho!dingi alicheka sana akasema usImchape mtoto!hahah