donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,042
- 21,517
Ukishushia na maziwa mgando unapata na usingizi laiiini
mie na wewe twajuana, hata sielez sifa zako hapa bibi misosi!Mie labda nile hivo vitoweo tu....
hahah usiwaze mkuu wangu, najua ukitoka lazima kieleweke tu!Du we jamaaa acha hzo mambo gani mwenzio nina ubao htari afu nipo job tangu asubuhi. Poa mkuu hapa nashusha mate tu.
hata mimi bora nile vitoweo maana ugali mmmmmmmmmmmmmmmmmhmie labda nile hivo vitoweo tu....