Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,666
Kariakoo pale nilikua shopping ๐We ulikua wap ad inaibiwa
Bhana ndo kazi yake iyo๐๐๐Jinunulie mwenyewe usimsumbue baba wa watu anachoka huyo
๐Na wewe kazi yako ni nini?Bhana ndo kazi yake iyo
Magical power ๐น
Si anakula mbususu yangu ๐ mwenyew ujui uwo ni mgodi wangu๐น๐Na wewe kazi yako ni nini?
Kwahiyo ukiyakata ndo yanakuwa nyama? Au maharage? Majani ni majani tu, regardless of the size..!! Haya, nguruwe nao huwa wanakatiwa majani..!!Mboga ya majani ikipikwa hivyo huwa sili kabisa, mm sio ngombe eti uniwekee majani mazimazima bila ya kuyakata kata.
chief hayo ni maoni yangu na wewe una Yako Kila mtu abaki na msimamo wake.Kwahiyo ukiyakata ndo yanakuwa nyama? Au maharage? Majani ni majani tu, regardless of the size..!! Haya, nguruwe nao huwa wanakatiwa majani..!!
Uku umate mate unakudondoka๐๐๐๐Imekaangwa vibaya hata haivutii aisee๐ฎ
Ndo vitamin d mkuu๐Issue sio kuiva nimezungumzia kukatwa katwa vipande vidogo, ukiangalia hapo juu unaona shina lote la mchicha limepikwa kama lilivyo.
๐๐Bhana ndo kazi yake iyo
Magical power ๐น
Kwan ukikatakata Hilo shina vipande vipande hiyo vitamin D itaondoka.?Ndo vitamin d mkuu๐
๐๐๐Aise ila Sasa hatakiwi kukuhudumia kila kituSi anakula mbususu yangu ๐ mwenyew ujui uwo ni mgodi wangu๐น
Sio kuondoka itapungua mkuu๐๐Kwan ukikatakata Hilo shina vipande vipande hiyo vitamin D itaondoka.?
Nakubali ๐ช๐๐๐Aise ila Sasa hatakiwi kukuhudumia kila kitu
Sidhani.Sio kuondoka itapungua mkuu๐๐