Kitu Perfume. . . .

katika msururu wa turn on zangu 10, harufu ya perfume kwa mwanammme ni numbere 2. perfume yenye jina sio perfume mradi kunuka badala ya kununia.
 
yah, hapo mmenigusa sana, kiukweli napenda sana perfume, hata gal wangu huwa napenda anukie muda wote ila iwe harufu nzuri itakayo nivuti, kuna a lot of manukato, km vl chick for men, hugo boss, president sports, insurrection, pia kwa ss kuna hii blue for men 2, ni nzuri sana na pia sio bei kubwa,
 
Hugo ni pesa ngapi?
 
tatizo bei mkuu,hapa dar perfume original zinapatikana jd pharmacy iliyoko walking village masaki,lakini kaulize bei utaruka hadi darini.(bei ya chini laki mbili na ushee).

Mkuu Bishanga ukitaka upate perfume au cologne nzuri ni lazima mfuko utoboke mkuu
Ni kuanzia Laki Mbili kwenda juu ndo unawez akupata kitu kizuri
 
Nakubaliana. Nimekwenda pale dukani kuulizia na nikathibitasha hilo ni jina tu. Mwanzoni yule shop assistance alisema "kuna hii hapa one million" nikatoka dukani haraka.

Mi nadhani alikuwa akimaanisha Paco Rabane 1 Million. jina la perfume na sio bei.
 
Ni kweli.mume wangu huwa anapaka perfume flan nkiiskia tu basi namtani sana akiwa hayupo huwa napakaa mimi basi napata hisia kama yupo na mimi.
Pamoja na kuwa perfumes zinaweza kuwa za aina moja, tuseme Paco Rabanne Pour Homme au http://www.perfume.com/issey-miyake/l-eau-d-issey/men-cologne L'Eau d'Issey, zinaweza kuwa kuleta reaction tafauti baina ya mtu na mtu; nikimaanisha kuwa harufu ya asili ya mwili wa mtu ikichanganyika na harufu ya perfume vinatoa reaction tafauti baina ya mtu na mtu, na pengine mnaweza kujiwekea perfume ya aina moja lakini kila mmoja (kwa mbaali) akanukia kivyake. Uchawi zaidi wa perfume unakuja pale wawili (m'mke na m'mume) harufu za perfumes zenu zinapoana.
Duh. . . Farkina, ikitokea nimebahatisha perfume anayopaka nikajitokeza akiwa hayupo itakuwaje hapo? Patasomeka sio?

Kwa maelezo hayo hapo Calnde Mkuu, hata kama utajiwekea perfume ya mume wa Farkina, inaweza isiwe na harufu ile ile aliyoizowea.
 
Ni kweli.mume wangu huwa anapaka perfume flan nkiiskia tu basi namtani sana akiwa hayupo huwa napakaa mimi basi napata hisia kama yupo na mimi.
Nikija mimi nimejipaka hiyo utuli kitu mwake siyo maana ukisikia tu unadhani nimume wako!!
 
Japo niko mbali ngoja ni shushe yangu hapaaaa:
Perfume...wachaa kabisa...cna mpenzi ila marafiki zangu wanaipenda sana perfume yangu na ni static, cnabadilish tangia nilipo anza nayo..DOLBY.
 
Perfume mukikutana unaenda unapiga chafya njia nzima nani anajua perfume za wanawake wakiaarabu au wapemba utajuta!Bora ukae bila perfume!!sasa wenzangu na mimi mnapaka za buku2 je kuna kupendwa kweli maana unamletea kero puani kwake ukiondoka anashukuru kukwambia anaogopa atakubore!!
 
Perfume mukikutana unaenda unapiga chafya njia nzima nani anajua perfume za wanawake wakiaarabu au wapemba utajuta!!!

wao hutumia sana incense (udi) na oil based perfumes.....sasa hizi oil based perfumes inategemea na hali ya hewa iko nzito kwa ajili ya mchana au jua kali na nyepesi kwa ajili ya usiku au sehemu ya baridi.
 
Pamoja na kuwa perfumes zinaweza kuwa za aina moja, tuseme Paco Rabanne Pour Homme au http://www.perfume.com/issey-miyake/l-eau-d-issey/men-cologne L'Eau d'Issey, zinaweza kuwa kuleta reaction tafauti baina ya mtu na mtu; nikimaanisha kuwa harufu ya asili ya mwili wa mtu ikichanganyika na harufu ya perfume vinatoa reaction tafauti baina ya mtu na mtu, na pengine mnaweza kujiwekea perfume ya aina moja lakini kila mmoja (kwa mbaali) akanukia kivyake. Uchawi zaidi wa perfume unakuja pale wawili (m'mke na m'mume) harufu za perfumes zenu zinapoana.

Kwa maelezo hayo hapo Calnde Mkuu, hata kama utajiwekea perfume ya mume wa Farkina, inaweza isiwe na harufu ile ile aliyoizowea.

Mamamia umeua band kabisa. . . Thanks for that
 
Back
Top Bottom