Kitu Nisichoweza Kwenye Ulimwengu Wa Mapenzi

Kitu Nisichoweza Kwenye Ulimwengu Wa Mapenzi

Daah, Kweli watu tumetofautiana.

Binafsi huwa nasikia raha ninaposumbuliwa kidogo na bint, huwa inaleta uchu na shauku zaidi ya kumnasa.

Kwangu mm maana halisi ya Kuwa mwanaume ni Pamoja na kupata ugumu flani Kwenye kila unachokifanya.

Mwanamke anayejirahisisha kwangu Hapana kwakweli, kama umempata kirahisi hivyo arashindwa vipi kukataa akitongozwa tena na mwingine?
Yap hii nzuri sana, mimi nikikubaliwa mapema sipendi na hayata dumu
 
Wewe Mwanamke Nikikutongoza Ni Siku 3 Tu, Ukizingua Haya Sina Muda Na Wewe Tena Labda Yani Labda Unifuate Mwenyewe. Mimi Mambo Ya Kubembeleza Mapenzi, Wiki, Mwezi, Mwaka Huu Mchongo Nimejaribu Nimeshindwa!

Hivi Wale Wanaume Ving'ang'anizi Mnaofuatilia Dame Hata Miezi 2 Teh Teh Teh Mnajua Mnapoteza Sana Muda Nyie Mafala. Mnawezaje?
Dah ndo unitukane kabisa jamaangu? Mie hata mwaka nakufata kabisa hadi wananioneaga huruma "utamsikia huyu mkaka hachoki jamani yani kila siku wimbo ni ule-ule ngoja tu nimkubalie" mwish wa kunukuu.
 
Dah ndo unitukane kabisa jamaangu? Mie hata mwaka nakufata kabisa hadi wananioneaga huruma "utamsikia huyu mkaka hachoki jamani yani kila siku wimbo ni ule-ule ngoja tu nimkubalie" mwish wa kunukuu.
Hii tabia mi nliacha kitambo sana, kuna demu nlimfukuzia miez 5, kaja kukubali bhana, siku kaja gheto demu kimeo sijawah ona. Nlipiga kimoja tu akasepa. Nikam block kabisaa mbuzi yule
 
Hii tabia mi nliacha kitambo sana, kuna demu nlimfukuzia miez 5, kaja kukubali bhana, siku kaja gheto demu kimeo sijawah ona. Nlipiga kimoja tu akasepa. Nikam block kabisaa mbuzi yule
Ko na mimi niache au?
 
Mtazamo wa hvo haupo asee kama dem anakupenda haez kukutesa atakuchana live mapema uishi nae ili usije ukamIgnore
Kwahiyo mkuu unapenda wale maharage ya mbeya maji mara moja eeh?! Vipi hao wengine ataweza kuwakataa kweli? Kuna raha yake bana kumpata mtu kiugumu kidogo isiwe sana sasa,unakua unakumbuka dah "wife ulinisumbua wewe" ila ni mtazamo tuu[emoji848]
 
Dah ndo unitukane kabisa jamaangu? Mie hata mwaka nakufata kabisa hadi wananioneaga huruma "utamsikia huyu mkaka hachoki jamani yani kila siku wimbo ni ule-ule ngoja tu nimkubalie" mwish wa kunukuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli mkuu,unakuta demu unanfuatilia weeee,hata ukimwita muonane open space yeyote anakupuga kalenda,

Unamwambia kama upo kwenye serious relationship niambie tuu,anagoma.....Sasa kwa staili hii NIKUONDOKA KABISA

Minapenda demu aniambie tuu,kama anamshkaji au vip sio kuniweka kwenye friend zone
Me kuna demu nilikuwa namtaka Asa ikabidi nimpe namba dada mmoja ambaye tumezoeana naye ili amkabizi yule Demu namba zangu

Chaajabu unaambiwa demu Kagoma kuchukua namba zangu na akamwambia yule dada kuwa mwambie asitafute namba zangu akanipigia

Nikasema sawa bibie
 
mimi nisichoweza ni kutembeaa na mwanaume anayevaa boxer za mpiraa wanakuwaga na uvundo kwenye [emoji523][emoji523]balaaa
Naomba nione hizo boxer za mpira maana nimecheka kichizi,

Naona wavaa boxer za mpira wanaipita comment yako huku wanasonya na kutukana lakini pia umewasaidia kwenda kujiosha.
Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukisumbuliwa ujue hupendwi.

Wanawake huwa hawapo comfortable kusema sikutaki au skupendi sasa ndo wanaamua kukuzungusha wee ili ujiongeze mzee baba.

Sasa wee komaa mwisho wa siku utaliwa hela na block itakuhusu.
 
Back
Top Bottom