Zemu
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 518
- 80
Wapendwa wana jf, napenda kuwataarifu mapema kuwa mnamo tarehe 10/07/2010 natajia kufunga ndoa huko tanga katika kanisa la kilutheri la kana, na kisha tafrija itafanyika pale railway club kuanzia saa 2 usiku.ukiwa kama ndugu, jamaa na mwanajf nawakaribisha wote kwani nimekuwa nanyi tangu 2008 na sitakoma kuwa nanyi.karibuni sana.kama kuna mchango wowote wa fedha au mawazo ya kufanikisha tendo hili nipigie kwa simu yangu 0655469931.askanteni sana, na mungu awabariki sana.nawapenda wote.