Kitu kidogo analia

Kitu kidogo analia

Mmh hayo maneno hata mimi sijayapenda si angemwambia wakiwa wawili.
Si ulikuwa utani tu? Hayo maneno ni ya kawaida sana kama yeye na mke wake wana mahusiano ya kirafiki, na pia kama wageni (mtoa mada) wana mahusiano ya kirafiki na mhanga. Ni kawaida kabisa utani wa namna hiyo. Kuna tatizo la msingi na hilo ndio la kushughulikia.
 
kuna utani mwengine hua kidogo ni kuvuka mipaka, hata kama watu waliokuwepo wana mazoea lakini kumtania mwanamke kwa maneno kama hayo sio vizuri, kwa mfano kumwambia ananepeana, anapenda kula, anajaamba sana, anapenda chumvi, hapendi kuoga. Kwa manamke mwenye hasida za mara kwa mara atakasirika tu
 
Mmh hayo maneno hata mimi sijayapenda si angemwambia wakiwa wawili.

Huo ungekuwa kama utani wa kawaida tu. Ila tatizo wasichana/wanawake wako 'sensitive' sana na masuala yanayohusu mwonekano wao kama kunenepa/kukonda, kupendeza/kutopendeza, urefu/ufupi, weusi/weupe, n.k. ukigusa tu hapo urafiki unaisha!

Wanaume nao wana anga zao, ukigusa tu umelipuliwa!
 
kuna utani mwengine hua kidogo ni kuvuka mipaka, hata kama watu waliokuwepo wana mazoea lakini kumtania mwanamke kwa maneno kama hayo sio vizuri, kwa mfano kumwambia ananepeana, anapenda kula, anajaamba sana, anapenda chumvi, hapendi kuoga. Kwa manamke mwenye hasida za mara kwa mara atakasirika tu

Ni kweli, ila sasa huyo si umeshasikia kuwa anapenda kulia hata kwa vitu vingine kama mume wake kuchelewa kurudi home kidogo au kumsema kwa chochote. Kwa hiyo huyo ana ziada ya hisia, inatkiwa zitafutiwe namna ya kupunguzwa.
 
Sawa subiri waje madoctor
 
jaman asa nini kinamliza.... mim sipendi kuishi na mtu mwenye manung'uniko
 
Kuna uwezekano mkubwa wa binti kuwa anajuta kuingia ndoani na huyo rafiki yako, ndomana kipindi cha uchumba hakua ivyo labda alijua penzi lisingefika kwenye ndoa. Kwaiyo ivyo vilio ni majuto ya yeye kuolewa na siajabu ndoa ikavunjika au kama ikiendelea basi haiwezi kua ya furaha.
 
Binadamu hatuko sawa mwingine hasira zipo kwenye kulia na mwingine furaha yake mpaka alie, ila kulia mbele ya wageni noma ha ha ha,mimi ningeumia lkn ningemezea,ila huenda huyo binti ana mapepo hayo pia humfanya mtu kupenda kulia.
ni kweli mkuu lakini kwa uonavyo wew hio ndio sababu kubwa ya kulia au ni tabia yake tu.
 
Naona sababu ya huyo mwanamke kulia....

Hivi huyo rafiki yako alienda jando kweli?????

Jamaa yako ana maneno mabaya na anayatoa hovyo bila kushirikisha akili

Tena ana ghubu

Ataongeaje maneno ya hovyo hivyo mbele ya watu??

Mwambie ipo siku atakutana na mwanamke kauzu akili itamkaa sawa
 
me sioni kama ni maneno ya hovyo halafu jamaa aliongea kiutani tu, ni mambo ya kawaida.
 
mkuu ni kweli huyo wife anamapepo mshauri jamaa abadilishe kanisa coz hilo alilompeleka limeshindwa kuyatoa

mkuu kanisa gani labda wanaweza kumsaidia maana hali ni tete.
 
mwambia jamaa kila anapolia amgegede,anamgegeda hivyo hivyo akilia aone kama mpaka mwisho wa gemu ataendelea kulia au atakata kiuno na kugunia utamu

teh teh! mkuu anapolia anakuwa ana hasira hata kyshikwa anakua hataki sa hapo atamgegeda vp?
 
jaman asa nini kinamliza.... mim sipendi kuishi na mtu mwenye manung'uniko

nadhani ni tabia yake hakuna kitu kingine. ila amemkuta jamaa mkimya me ningekua namkata vibao.
 
Back
Top Bottom