Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Namna hiyoo😍Hapana, hakuna kuandika.
Namna hiyoo😍Hapana, hakuna kuandika.
😂😂😂😂😂 Usiseme nilikua sijui kama ndo mambo yenyewe hayo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Unaona sasa wewe si umetoka kuniambia niseme utanisaidia?
Mimi nimeacha kunywa pombe tangu tarehe moja Januari 2024. Nina bia kwenye friji, nina Scotch Whisky, nina wine na Champagne, lakini naziangalia tu, nimegoma kunywa pombe mwaka huu.Bia aisee huwa nikinywa napata amani sana ya roho, sijui kama ntakuja kuacha
Badoooo...Pombe nimeacha miaka Sasa
Mabibi wa nje mwaka wa Saba huu.
Hakuna kusichowezekana.
Yale yaleAcha pombe, baki na wine
Sanaa, 😂😂. Kukosa kazi si mchezo mtu anaweza kusoma comments zangu zote 7000 ndio apate pa kuanzia.Upimbi ni mwingi humu.
Si ni bora mninyonge tu kuliko nikaandika hiyo kitu😂😂andika tu tutasoma kimya kimya
Kiufupi wewe huwezi kusahau ???Nikiwa nakuona nakumbuka ulichofanya
Naanza upya kukuona phalla 😂😂
Wine sio pombe PB😂Yale yale
Jingaa kweli😏😏😂😂😂😂😂 Usiseme nilikua sijui kama ndo mambo yenyewe hayo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kipi Kaka? Au SIGARA? Sijatumia madawa ya kulevya, sijawahi kujiunga chaputa. Sio mwizi wa pesa za umma.Badoooo...
Kuna kimoja ujasema 😂😂😂
Bora ulivo acha maana pombe ni haram pia ni dhambi... Bora umelijua hilo mkuu 🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏👏Mimi nimeacha kunywa pombe tangu tarehe moja Januari 2024. Nina bia kwenye friji, nina Scotch Whisky, nina wine na Champagne, lakini naziangalia tu, nimegoma kunywa pombe mwaka huu.
Huwa nafanya hivyo, nina miaka ya kunywa na miaka ya kutokunywa, mara nyingine nakaa mpaka miaka miwili bila kunywa pombe.
Huu ni mwaka wa kutokunywa.
😂😂😂 umescore vyema.Kiufupi wewe huwezi kusahau ???
Na unakaa na vitu kwa mtima..😂😂😂
Hiyo kitu ni shida asikwambie mtu😎😎Nyeto mazeee....
Wine ni pombeWine sio pombe PB😂
Yaaani wewe tunakubana hivi hivi mpaka useme an 😂😂😂😂😂😂😂Kipi Kaka? Au SIGARA? Sijatumia madawa ya kulevya, sijawahi kujiunga chaputa. Sio mwizi wa pesa za umma.
Nakuelewa, napenda pia kiporo Cha wali maharagwe ila kinaleta unene...Kiporo cha wali na maharage asubuhi,
Iwe na chai ya rangi au maziwa
halafu upashe maharage yapate moto kidogo uyamwage kwenye hoti poti la wali ni hatariiiii