Kitu gani spesho kipo kwenye pijo 504?

3ZOV

JF-Expert Member
Dec 28, 2020
6,249
6,979
Kuna wimbo wa Esir - leo ni leo kuna mstari alikuwa analisifia hili gari je lilikuwa na vitu gani spesho?

Cc [mention]RRONDO [/mention] na watalaam wengine wa magari pamoja na wadau wa mziki wa zamani kushuka 2010
 
Ilo gari ni classic. Moja ya best selling car duniani.

Peugeot 504

images (12).jpeg
 
Back
Top Bottom