Aisee hakika umeandika ukweli kabisa.
Kuhusu kukosa maelewano kawaida tunajadiliana kisha mambo yanaisha,
Kwakwel wapenzi wangu wote ni marachache sana ama hakuna nliefanya nae la maana, isipokuwa huyu wa mwisho nimesomanae chuo pia kipindi namaliza chuo tulikua tunafanya bihashara pamoja, lakini kwasasa mm ndio namaliza na yeye anaingia mwaka wa mwisho.
Kiukweli nikisha achana huwa sikumbuki chochote kwa nilie kuwa nae.