Kitu gani kinanisumbua?

Aisee hakika umeandika ukweli kabisa.

Kuhusu kukosa maelewano kawaida tunajadiliana kisha mambo yanaisha,

Kwakwel wapenzi wangu wote ni marachache sana ama hakuna nliefanya nae la maana, isipokuwa huyu wa mwisho nimesomanae chuo pia kipindi namaliza chuo tulikua tunafanya bihashara pamoja, lakini kwasasa mm ndio namaliza na yeye anaingia mwaka wa mwisho.

Kiukweli nikisha achana huwa sikumbuki chochote kwa nilie kuwa nae.
 
Asante sana mkuu
 
Nami ilikuwa ivo ivo japo am mwanamke na nilipokuja kususiwa mimba ndo nikachukia kabisa mahusiano ..achana na kumchoka MTU mapema ila nilichukia kabisa.nipo ndoani ili niendelee kuishi.Only that
Ili uendelee kuishi ?how?cjakuelewa mkuu
 
Ili uendelee kuishi ?how?cjakuelewa mkuu
Usipoolewa unakuwa huru sana na unaweza kutoka na wengi mno Ila ukiolewa unatulia na mume na magonjwa ushayaepuka unaishi
 
Uzuri ni kwamba unalijua tatizo lako. Sasa sijui kama unaweza kulifanyia kazi mwenyewe ili usilirudie au inabidi kuwaona wataalam. Huyo mliyekuwa nae kwa miaka mie ili na nusu na ukampenda sana muonyeshe huu uzi labda naye atakuwa na msaada mkubwa kwako kuondokana na hii tabia ya hovyo. Kwanza mnaweza kurudiana pia anaweza kukuelewa tatizo ulilonalo na kukuelewa pale ulipoacha kumtafuta. Ni tatizo kubwa hili hasa kama unakusudia kumpenda mrembo mpaka mjaliwe kufunga pingu za maisha.

 
Asante sana mkuu i will work on it
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…