Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,433
- 4,040
ninazitafuta ndo maana mpila sitazami banda umiza chiefTafuta hela Mkuu
Ukimadmire MTU uwe unachukua namba siyo kumwangalia tunakutana na wahudumu wapya nikijaribu labda kuwauliza yule fulani yupo wapi majibu wanayonipa kuwa hawajui alipo au kaacha kazi.
ni kweli me ni mshamna pia nina miaka 12 chief alaf natokea ndani ndani huko vijiji vya ujima life la zama za maweWe mtoa mada una umri gani? Bila shaka we ni ke na unatokea usukumani ndani ndani huko kwa akina mayala! Kiufupi we ni mshamba na mgeni mjini hapa
Mbona kama umekaza sanaWe mtoa mada una umri gani? Bila shaka we ni ke na unatokea usukumani ndani ndani huko kwa akina mayala! Kiufupi we ni mshamba na mgeni mjini hapa
inshu sio kuchukua namba sio kila demu mzuri ina maana natakiwa nimtongoze au nilale nae.Ukimadmire MTU uwe unachukua namba siyo kumwangalia tu
je chief yupo mtu ambae kila baada ya miezi kadhaa anaacha kazi ndani ya dar hii kazi zilivyokuwa tabuMkuu.. huko ni mbugani, Hawajengi ufalme kwenye bar, wapo kutafta majani, so movements lazima ziwe nyingi
Yeah,ndo uanaume.Nikajua kuna issue ulikuwa unafukuziainshu sio kuchukua namba sio kila demu mzuri ina maana natakiwa nimtongoze au nilale nae.
kuna wengine tunawapotezea tu na uo ndo uanaume kudhibiti hisia zako
welcome sana managerInteresting...
Ngoja nitulie hapa...
hapana boss sikufukuzia ila kuna kipind unakutana na mtu unazoeana nae sana alafu ghafla tu haumuoniYeah,ndo uanaume.Nikajua kuna issue ulikuwa unafukuzia
siend kutazama mpira tu pia natazama mpira wachezaji na refa wenyeweunaenda bar kuangalia mpira au kuangalia wahudumu?
Taratibu mjini hapa uwe na stahani kweli me ni mshamna pia nina miaka 12 chief alaf natokea ndani ndani huko vijiji vya ujima life la zama za mawe
kwahiyo wale wadada wapo kwa ajil ya kazi mbili mbilWateja wanataka mali mpya mkuu. Walewale inachosha usipobadilisha utapoza wateja