Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,773
- 9,967
Leseni ya gari aliandika kwa jina la huyo mwanamke so hakuchua na uwezo wa kuchukua alikuwa Hana.
Hii Dunia ina watu viatu kupitiliza.
Leseni ya gari aliandika kwa jina la huyo mwanamke so hakuchua na uwezo wa kuchukua alikuwa Hana.
Niliwahi kumuandikia barua ya mapenz baada ya Gem kila nikimtegea atoke kwao hatoki nikenda kuirusha dirishani kwa chumba chake kumbe mama ake yuko humo ndani jioni nikaona ugeni wa wazee wake wanakuja home wote shuhuli ilikua pevu hadi kupatikana maelewano ya wazeee