Kitu gani cha kijinga umewahi kukifanya kwenye uhusiano?

Niliwahi kumuandikia barua ya mapenz baada ya Gem kila nikimtegea atoke kwao hatoki nikenda kuirusha dirishani kwa chumba chake kumbe mama ake yuko humo ndani jioni nikaona ugeni wa wazee wake wanakuja home wote shuhuli ilikua pevu hadi kupatikana maelewano ya wazeee

Daah!!

Kitambo nikiwa darasa la tano Binamu barua zake anazomtumia Joyce zilifumwa na Mama yake siku nimemsindikiza akamuone Joyce wake mara Mama yake Joyce anatoka ndani Jamaa alipewa wosia wa kama masaa manne hivi.
 
Back
Top Bottom