Kitu cha lugha gongana ya walevi

Kitu cha lugha gongana ya walevi

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,125
Reaction score
14,629
walevi wawili waslikiwa wana zunguka usiku hamadi wakakuana na mchungaji katoka mkesha

mchungaji ; vijana mmeharibika njooni niwafunze njia ya kwenda kwa bwana

mlevi ;samahani brother sisi hatuendi kwa bwana tuna enda sinza

mchungaji akawaacha

mbele kidogo wakaanza mjadala kwamba king'aacho juu ni mwezi au jua .wakakubaliana watakae mwona yeyote wamuulize .

mara akatokea jamaa ambae kumbe kalewa kuwazidi.

wakamuuliza :samahani ndugu eti ile ni jua au mwezi

jamaa; samahanini ndugu mi mwenyewe mgeni n na eneo hili.
 
Ulevi ni nouma jamani!
Ushauri wa bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom