Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Mi nangoja muishiwe halafu nakuja kuwavua hizo kandambili za makalio kiulaiiiiniiii, kuanzia katikati ya semista na kuendeleahahah vijana bwana!!! haya mkanunue sub woofer,i-phone,black berry.....
Mimi jana nilikesha Zambezi bar na malaya wa pale. Kwa kweli nililewa mpaka nikakata network!
vumilia mkuu utapata haki yako
Nilikesha Zambezi. Huyo aliyeletwa hajitambui ni mwinginewewe ndio ulieletwa jana ucku hapa mabibo block c rum namba 127 ukiwa umebebwa hujitambui au?
jamii forums the home of great thinkersmi nangoja muishiwe halafu nakuja kuwavua hizo kandambili za makalio kiulaiiiiniiii, kuanzia katikati ya semista na kuendelea
kwani mama mkwe ulimdufua lini?Mimi jana nilikesha Zambezi bar na malaya wa pale. Kwa kweli nililewa mpaka nikakata network!
Mimi jana nilikesha Zambezi bar na malaya wa pale. Kwa kweli nililewa mpaka nikakata network!
wewe ndio ulieletwa jana ucku hapa mabibo block c rum namba 127 ukiwa umebebwa hujitambui au?
Huyo aliyeletwa amebebwa hajitambui hakuwa ametafunwa...!
Nilikesha Zambezi. Huyo aliyeletwa hajitambui ni mwingine
hATIMAYE KITU CHA BOOOM CHA INGIA JANA KWA WANAFUNZI WA UDSM..TAKRIBANI SIKU KAMA 14 HIVI HASA KWA WALE WANAOKAA HALL 5 WAMEKUWA WAKILALAMIKA NJAA KWA KUPIGA MAKELELE USIKU......HAHAHAHAH
HIYO FURAHA KWENU
sweetlady niwie radhi kwa kukubishia siku ile, kumbe zile post ulizozisemea zipo asee!!
Dah!! kazi kwelikweli. Haya bana wala boom na mle ndio wakati wenu huu.
Sasa hivi nipo kwenye baa ya ABC hapa Mabibo Hostel nakunywa safari baridi kwa kwenda mbele. Mimi ni gifted kwenye masomo, madem na pombe. Huniwezi
Wale wa mabibo hostel kunyweni,laleni pale block G(kwa waopafahamu) au kule uwanjani,naskia siku hzi mmewekewa taa
Nina test mbili kesho jumapili. Muda huu naenda tena Zambezi halafu narudi kusoma saa nane usiku hadi asubuhi. Vipi nikushtue tuende wote tuka-enjoy ?lakin huyo nae aliletwa na hao welevi wenzenu wakasema walikua wanapga maji hapo zambez,ndo nikazan ni wewe!sasa fogo,we huna test weekend hii?
Nina test mbili kesho jumapili. Muda huu naenda tena Zambezi halafu narudi kusoma saa nane usiku hadi asubuhi. Vipi nikushtue tuende wote tuka-enjoy ?
Kwa GPA hunipiti na kwenye starehe pia mimi ni kiboko yao. Nakamua madem na book kwa pamoja.
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.